😅😅😅😅😅 heii jamani sio mimiMleta Mada Atapigwa Kipigo Cha Mbwa Koko
Hahhahaah asa wewe kama huyo baba utafanyajeHuyo hajitambui atakuwa anatumiwa mmea yaani umdai asiyehusika
Hahhahahahh aseeNingekuwa mimi ndo huyo mama,ningekutafutia vijana wakutie adabu
Sawa amekosea ila atleast huyu mama angekua na huruma japo kidogo japo ina boa ina kerakanstari ka mwisho kamepoteza hints zote za kukushauri.
coz hamna mwanamke ataeelewana na mchepko wa mumewe hata.
unaingiliaje ndoa hadi kuzaa we ndo nuksi hadi kapoteza kibarua si ajabu hiko kibarua kimetokana na mke wa ndoa.
beba adhabu yako.
Huyo dada kama anamuona huyo mtoto ni mzigo kwake na aliyemzalisha hampi matumizi basi akamkabizi kwa mwenye mtoto amuhudumie kuliko kuongea na mke wakeHahhahaah asa wewe kama huyo baba utafanyaje
mi naona kumchukua mtoto ake ndo uanaume
maza house angejaribu kua na huruma tu, mambo mengine yakishatokea haijitaji hasira maana haisaidiii
Hili ndo solution ukitoka nje ya hizi keyboardWapelekee mtoto wao