Wa mama mijengo sometimes muwe na huruma

Wa mama mijengo sometimes muwe na huruma

Unge kuwa mjanja kama ungeomba akufungulie mradi na wewe uendeleze, mpaka sasa ungemalizia nyumba yako na usingemtafuta mtu😉
 
Alipotumbuliwa ukaenda kama nyumbu kwa mke mwenye Cheti Cha ndoa kudai matumizi? Kwa hiyo ilikuwa hujachukua mtaji we unasubiri mke halali akusanye mapato we upate gawio ukiwa umepanua paja sebleni?
 
Hahhahaah asa wewe kama huyo baba utafanyaje

mi naona kumchukua mtoto ake ndo uanaume
maza house angejaribu kua na huruma tu, mambo mengine yakishatokea haijitaji hasira maana haisaidiii

Why? Kwanini? Wamama wangapi wanauza mihogo na watoto migongoni? Mxiuuuuu anyanyuke afight kwa ajili ya mwanae… mtoto achukuliwe ili akatafute danga jipya? Kila mtu a-deal na mwanae aiseee
 
Jamani tuwaache wa mama mjengo. Kwani yeye ndo aliyezaa naye. Wakati wanachumia juani hukuwepo saa hizi unaanza kutamani maisha ya watoto wa wenzio. Ndo wale wanawake wakiona yamewashinda wanaanza kwenda kwenye vilinge kuwaroga watoto wa wenzao.

Kama mwanaume hana hela basi tafuta na wewe uleee maana malezi ya watoto ni hamsini kwa hamsini kwa wazazi wote.
 
Kuna baba nilikua nae, ni mume wa mtu, alikia ananihudumia kwa kila kitu, Mwaka jana aliniambia nimzalie, mimi nikamwambia kama unataka mtoto na mimi basi aninunulie kiwanja na kunijengea. Kweli alifanya hivyo ila wakati nakaribia alisimamishwa kazi mambo yakawa magumu kwani alikua na kesi.

Alitoka lakini alikua hana pesa tena kama mwanzo, ujenzi nyumba ilisimama kwenye lenta, akakata mawasiliano na mimi nimehangaika mpaka kumpeleka ustawi wa jamii.

Kule akasema yeye hawezi nihudumia kwa kuwa hana kazi, kweli alionyesha barua ya kufukuzwa kazi. Lakini anamaisha mazuri mke wake ana Biashara nyingi tu, ana maduka na ni mfanyakazi wa kampuni moja kubwa tu.

Watoto wake wanaishi vizuri tu ila wakwangu ana miezi mitatu ila hajawai mnunulia hata pampasi. Nawaza hivi naweza kumpeleka mke wake ustawi wa jamii ili amhudumie mtoto wa mume wake. Nilishampigia huyo mama ili kumuomba matumizi lakini aliishia kunitukana, nafanyaje kwani hata biashara ni mwanaume wetu ndo alimfungulia.

copied but ni real life story
Na wewe leo wakwako si uone huyo mama mjengo analea wa kwake japo mume wenu hana kazi 🤣🤣🤣. Unavuna unacho panda... 😂😂😜😜😜😜😜😜
 
Uza Boma, pesa utakayopata anzisha biashara umlee mtoto wenu.
Acha kulialia.
 
ww ungemhurumia?

mtu aliye washusha fasta kutoka uchumi wa juu hadi kufika kati?
Ina tegemea na situation aliopo huyo dada

sema daah its complicated sitwesheni😅😅😅😅 nakuonea tu huruma
 
Na wewe leo wakwako si uone huyo mama mjengo analea wa kwake japo mume wenu hana kazi 🤣🤣🤣. Unavuna unacho panda... 😂😂😜😜😜😜😜😜
😅😅😅 kashindwa hata ka wewe watoto wa nyumba wa na roll ungejisikiaje

Omba tu yasikukute ila ndo hua hivo😅😅
 
Back
Top Bottom