Wa mama mijengo sometimes muwe na huruma

Malipo ya kuiba mume wa mtu ndio hayo ulidhani mjanja sasa umepatikana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka kama mazur, ata mim nngetukana.Karma anafanya kazi yake
 
Ndugu Zaeni Elimu Ni Bure Hata China Ina Uchumi Mkubwa Sababu Ya Idadi Ya Watu
By Jiwe, Chuma
 
Kudanga kumeleta janga,yani unampa mtu masharti ili umzalie leo umezaa unalialia...lea mtoto wako hakuna maisha rahisi
 
mke wake anabiashara nyingi
anamaduka
ni muajiriwa wa kmpuni kubwa tu
watoto wake wanaishi maisha mazuri..

dada wacha nikwambie … siyo kila biashara anayomiliki mwanamke alifunguliwa na mumewe..na wewe katafte vyakoo

wacha mama mjengo aringe.. ni muda wake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…