Wa kwanza kumkumbuka Kikwete

Wa kwanza kumkumbuka Kikwete

akili yako na unaye msifia vina fanana-totauti yeye alitumia ujuha wa Watanzania kuwa raisi
 
Mi ntamiss mizaha kwenye wizi wa mali za umma - kama EPA, RICHMOND, TWIGA KUPAKIWA KWENYE NDEGE na ESCROW. Yote hayo yametokea na bado muda wa kufikiria na kujirekebisha unaendelea hadi leo.

Hapo sasa, nikikumbuka huwa nacheka mwenyewe 😂😂
 
Khaa!! Mie kwa miaka yote 10 nitamkumbuka kwajambo moja kubwa na lenye maana sana kwa ustawi wa nchi yetu. KUMKATA YULE JAMAA akiwa na pesa zake na vibaraka wake..

Frankly speaking pamoja na mapungufu yake yoooote alicheza kama pele kuhakikisha huyo fisadi na kundi lake la akina Rostam haliingi ikulu.BIG UP JK KWA HILO
 
Kichwa cha habari hakiendani na mada yenyewe." Ungesema utamkumbuka JK kwa lipi?"
 
Hakikia Kikwete atakumbukwa daima kwa wale wametembea nchi hii sehemu mbalimbali si shaka kuthibitisha haya ...hongera sana JK asante kwa utumishi wako mwema kama rais wa awamu ya nne
 
Kila Mtanzania atamkumbuka Kikwete baada ya muda si mrefu.

The best President we have had so far.
 
Back
Top Bottom