Wa kwanza kumkumbuka Kikwete

Wa kwanza kumkumbuka Kikwete

"Jk hana ubavu wa kumkata Lowassa na akithubutu laZima pachimbike, jk Chama lazima kimfie Mikononi mwaka huu, Jk asipokabidhi madaraka kwa Mh.Lowassa tutafanya Maandamano ya kuja kumnyofoa Ikulu kama Bagbo" hahahah! Wamenyooka, wametepeta kumbee wepesiiiiiiiiii! Akili nyingi za Jk zilifanya kina Mbowe wazunguke nchi nzima na kipeperushi cha Mwanahalisi kumchafua Mgombea wao wa Urais 2015 bila ya kujijua. Akili mjini nguvu peleka Mererani
 
Leo nilidhani Ukawa wangeenda kumuaga JK kwa namna alivyo wapandisha thamani, kakuza demokrasia saana, uhuru wa kuongea, kafanya mazungumzo nao mno na kuvumilia ( Subra).
Leo hawataki muaga mtu aliye upa upinzani fursa ya kukua, basi kama haitoshi walimtukana 10 yrs. Na hakujibu kitu huyu ni zaidi ya rais kwani hata hawa manabii wa sasa huwa na mihemko na kuwatusi watu.
Tanzania inamuaga JK kama shujaa wa Africa, huyu hakua rais wa nchi tu bali ni msimamia Amani wa Africa nzima.
Natamani siku nipate muda wa kuongea nae inshallah nitamwambia mambo mengi ambayo yy alifanya kama wajibu ila yameleta heri nyingi.
Sasa #HapaKaziTu#
Ni mwana diplomasia wa hali ya juu, pia haujakosea, ni mvumilivu na aliyepaisha upinzani na uhuru wetu wa kujielezea mawazo yetu binafsi.
 
Leo nilidhani Ukawa wangeenda kumuaga JK kwa namna alivyo wapandisha thamani, kakuza demokrasia saana, uhuru wa kuongea, kafanya mazungumzo nao mno na kuvumilia ( Subra).
Leo hawataki muaga mtu aliye upa upinzani fursa ya kukua, basi kama haitoshi walimtukana 10 yrs. Na hakujibu kitu huyu ni zaidi ya rais kwani hata hawa manabii wa sasa huwa na mihemko na kuwatusi watu.
Tanzania inamuaga JK kama shujaa wa Africa, huyu hakua rais wa nchi tu bali ni msimamia Amani wa Africa nzima.
Natamani siku nipate muda wa kuongea nae inshallah nitamwambia mambo mengi ambayo yy alifanya kama wajibu ila yameleta heri nyingi.
Sasa #HapaKaziTu#
Hata hii JF waliyotumia kumtukania ni yeye aliiachia ikue na kujiimarisha. Historia itakukumbuka Mr. President.
 
ntamkumbuka kwa kunifanya kulipwa overtime kazini kwa yeye kutangaza leo ni mapumziko
 
he did to his extent let magufuli do the rest of stuff though ana long way to run
 
Namkumbuka kwa kuwateua wanawake wazuri kuwa ma dc dc etc
 
Sukari kutoka tsh 600 hadi 2,200/= kaharibu uchumi kila kitu kimepanda bei kashindwa kudhibiti mfumuko wa bei,baraza kubwa la mawaziri,kuzurura nje ya nchi kwa muda mrefu.

Ni hayo tu labda na picha zake katika maofisi nothing more.
 
Back
Top Bottom