Haswaaaa...taarabu taarabu...mzaramo mzaramo tu ht awe mwanaume.....mipasho
Mimi na wengine wengi hatutammisi kwanza tunafurahi amemamaliza mda wake tulikuwa tumemchoka. Hatutammiss. Tummiss kwa lipi, EPA, Nawajua wafanya biashara was madawa ya kulevya. Walioiba hela za Epa warudishe. Jatutammisss.![]()
Ingawa makundi mbalimbali nchini yatamkumbuka sana, vyama vya upinzani vitakuwa kundi la kwanza kumkumbuka na kummiss Rais Kikwete.
Kikwete ni Rais pekee aliyeuvumilia, kuupa uhuru na kuupalilia upinzani njia ya kujiboresha. Iwapo wapinzani wangekuwa makini, wangenufaika sana na uhuru huu waliopewa.
Historia itamkumbuka Kikwete kama Rais aliye tayari kusikiliza mawazo tofauti hata yale yanayolenga kumshambulia. Wapinzani wameshindwa kutumia fursa hii kujipatia angalau 45% ya Bunge. Fursa adimu kama hii haitakuwepo tena kwenye awamu ya tano.
Tabasamu la Kikwete ambalo wapinzani aghalabu wamekuwa wakilikejeli ni miongoni mwa vitu watakavyovimiss sana wanapohutaji muafaka wa masuala ya kisiasa ya kitaifa. Hili litakuwa somo kuwa kitu hukithamini mpaka kitakapokosekana.
Uongozi wa awamu ya nne ulikuwa haupendi shuruti. Ulikuwa unatoa muda wa kufikiria. Ulikuwa unatoa nafasi ya kujirekebisha. Wapinzani walikuwa mbele kupinga aina hii ya uongozi. Kwa bahati, umekuja uongozi wa aina tofauti.
Mlichokiomba mmekipata...
well saidShurely he will be missed!!!!!
Amejitahidi kuinua maslahi ya.wafanyakazi.wa.serikali. Uhuru wa kutoa maoni ameuimarisha sana mfano Jamiiforum,mwanahalisi etc
Mwanadiplomasia aliyebobea, humbled na Wageni wengi wamekuja kuwekeza tanzania mfano kila kona.sasa kuna.wachina,waturuki,walebanoni wazungu ndio usiseme. Japo changamoto ambayo tunayo ni.uncontrolled immigration wa west africa waliochoka wengi nao wanakuja kutafuta mkate,sudanese,somalis,east asians etc. Hapa uhamiaji inabidi wafanyekazi ya ziada