Oh! Yes.Ya. Msingi tena
Hatari tupu.. watoto wakali wanaongeza siku za maisha.. mtoto alikuwa anaitwa Saumu sijui swaumu.. mtoto kama angel vile.. alafu alikuwa wakishua.. machizi kibao walikuwa wana mgwaya.. noma sana.. sasa hivi mtoto yupo kwa Boris Johnson mie nipo kwa mtogore 😀😀😀Yan wewe kila wakati unadili na watoto wakali tu
Vipi na wewe ni mtoto mkali nilete maombiYan wewe kila wakati unadili na watoto wakali tu
Nilikua na 1-2 yrs aisee 😛1993 - 1994 Kipindi hicho bado nipo shule.
Unipe heshima yangu, wengine humu wanakomaa kututusi kumbe vitoto vya juzi 98, laiti tungecheza na mama zao vingekuwa vitoto vyetuNilikua na 1-2 yrs aisee
Aaah wapi we mwenyewe kama sikuamini hivi huna age hiyo ya kututishia humu😀😀Unipe heshima yangu, wengine humu wanakomaa kututusi kumbe vitoto vya juzi 98, laiti tungecheza na mama zao vingekuwa vitoto vyetu
Mi ni wa early 80'sAaah wapi we mwenyewe kama sikuamini hivi huna age hiyo ya kututishia humu
Si kweliiMi ni wa early 80's
Alikua hata hajazaliwa huyo, watoto wengi sana humu.