Kuna wale huwa wanavuka lami kwa foleni... Mwache mbuzi aitwe mbuziKojani
Huyu hata jela ya kuku haimfai atawafundisha wengine Tabia mbaya
Huyu je
na kweli hakuna mji mchafu kama dar kipindi cha mvuaWa Dar tupo bize kutapisha maliwato zetu,
Msimu wa mvua kama huu kwetu ni ahueni
huyu Wa tanga
Huyu je
Huyu mbuzi lazma anacheti. Wanaojua kusoma na kuandika hawayawezi haya