SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,074
- 75,417
![]()
Huyu je
Mshana huyo kiumbe anayefanyiwa usodoma ni kiumbe gani nimeshindwa kumtambua.
![]()
Huyu je
kwa hiyo hapo anatafuta 'otherwise'huyu Wa tanga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyooo paka mapepe![]()
Huyu je
Sasa huyu nihatari zaidi![]()
Huyu je
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umefikiria nini kusema hivyo?Kinachonisikitisha binadamu wanavuka KAMA MBUZI na mbuzi wanavuka kama binadamu!
![]()
Binadamu wa Dar havuki kwenye zebra anavuka popote pale kama mbuzi....wakati mbuzi hao pichani wanavuka kwenye zebra kama binadamu wa kweli![emoji23] [emoji23] [emoji23] umefikiria nini kusema hivyo?
Mkuu kwa utaalamu wako hujagundua kuwa huyu anaweza kuwa binadamu ila anatuzuga tu?!!
Kinachonisikitisha binadamu wanavuka KAMA MBUZI na mbuzi wanavuka kama binadamu!
![]()
Aisee kweli kabisaBinadamu wa Dar havuki kwenye zebra anavuka popote pale kama mbuzi....wakati mbuzi hao pichani wanavuka kwenye zebra kama binadamu wa kweli!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyooo paka mapepe
Umesema ukweli. Na maderva wengi hawaeshimu zebraBinadamu wa Dar havuki kwenye zebra anavuka popote pale kama mbuzi....wakati mbuzi hao pichani wanavuka kwenye zebra kama binadamu wa kweli!
🙁🙁🙁Kiuhalisia kuna wanyama wengi kwenye umbo la binadamu na binadamu wengi kwenye umbo la wanyama... Huyu ni Mmojawapo