Fidel bwana,
Pole sana kwa yaliyokukuta....Ukiumwa na maumivu yakawa hayaishi lazima umwone dakitari!!
Itabidi sasa tutafute anti-dot mwenzetu usije kuhesibiwa vyuo kwa umri huu!!
Babu DC!!
Mweeee!tumefikia hapo?sikujua asante kwa taarifa mkuu!
Have u ever happened to taste that chapachapa, i bet u will not let it go.Inakuwa chapa chapa hata radha inapotea kabisa
BABU Mjukuu wako wa Tuition anakusalimia, kwa heshima na taadhima
Uliingilia mlango upi hadi kwa mwalimu wa zamu bila kupita ofisini kwa mwalimu mkuu,,,maana sikumbuki kuliona hili jina kwenye roster
Hapana mpwa hii kitu wadada sasa hivi wanaitumia sana na inauzwa kwa wadada tu
Ukitaka kumnunulia yule counter wa Who told you jamaa wanakataa wanao uza huo mzigo
Duhh maswali mengine bana
Mie bado nina heshima,!Sio kwa taarifa tu bali fanyia kazi pia!
Mie bado nina heshima,!
Hivi dawa ya kurudisha heshima bado unaendelea kuitumia au umeacha?Mmmh! Wadada kazi nzito.
safi ikiwa inapwita pwita hakuna michubuko so ngoma haiwezekanai kupata inafaa kula kavu tuuu
pia kuubana mkojo wakati wa kukojoa ni zoezi zuri.According to mama Tere unaweza kurudisha heshima mwanamke na mwanaume kwa kutumia njia hii ya asili
ukimaliza kupiga mswaki asubuhi, endelea kwa kuingiza mswaki kooni kama unataka kumeza, kwa kufanya hivyo utakuwa kama unakohoa na utatoa maji kama machungu kama nyongo; kile kitendo cha kukohoa kitaifanya ikulu iwe kama inasinyaa na kitendo hicho kinaimarisha misuli ya sehemu nyeti na hii ni hata kwa mwanaume asiyesimamisha na unashauriwa kufanya kila asubuhi.
Source Mama Tere katika kipindi cha Wanawake live cha chanel 10
Hivi dawa ya kurudisha heshima bado unaendelea kuitumia au umeacha?