Wa dada na dawa ya kurudisha heshima

safi ikiwa inapwita pwita hakuna michubuko so ngoma haiwezekanai kupata inafaa kula kavu tuuu
 
Fidel bwana,

Pole sana kwa yaliyokukuta....Ukiumwa na maumivu yakawa hayaishi lazima umwone dakitari!!

Itabidi sasa tutafute anti-dot mwenzetu usije kuhesibiwa vyuo kwa umri huu!!

Babu DC!!
 
Mpwa umekuwa mtaalam wa Jadi toka Naijeria?

Hapana mpwa hii kitu wadada sasa hivi wanaitumia sana na inauzwa kwa wadada tu
Ukitaka kumnunulia yule counter wa Who told you jamaa wanakataa wanao uza huo mzigo
 
Fidel bwana,

Pole sana kwa yaliyokukuta....Ukiumwa na maumivu yakawa hayaishi lazima umwone dakitari!!

Itabidi sasa tutafute anti-dot mwenzetu usije kuhesibiwa vyuo kwa umri huu!!

Babu DC!!

Hahahaha Babu wajukuu zako wanafanya kila juhudi kuwafanya mashefa yasiwaache
Sasa hapo babu kuna kila aina ya utaalamu mwingine kaninong'oneza hata kitunguu swaumu kinahusika kufanya iwe ndogo.
 
BABU Mjukuu wako wa Tuition anakusalimia, kwa heshima na taadhima

Uliingilia mlango upi hadi kwa mwalimu wa zamu bila kupita ofisini kwa mwalimu mkuu,,,maana sikumbuki kuliona hili jina kwenye roster
 
Mwalimu wa zamu aliniita ofcn akanambia wanafunzi wageni wanatakiwa waelekezwe mazingira na kanuni including jinsi ya kupiga hodi kwa mwalimu mkuu. Heshima yako MKUU
 
Hapana mpwa hii kitu wadada sasa hivi wanaitumia sana na inauzwa kwa wadada tu
Ukitaka kumnunulia yule counter wa Who told you jamaa wanakataa wanao uza huo mzigo

Umewauliza kwa nini wanakataa kuwauzia wakati nyie ndio mnazitaka na kuwasababishia wadau wenu wahangaike kuzitafuta?

Hata kama wenzio tunatumia akili iliyochoka ya 1947, lazima mwangwi wa hilo suala la wauzaji kuchagua jinsi una mshindo mkubwa!!!

Babu DC!
 
sasa Fidel kwa kuwa umeanza karisach,embu malizia kwa kutueleza ladha inakuwaje kwa wanaoingia chumvini kwenye K iliyotiwa huo mkuyati?
 
According to mama Tere unaweza kurudisha heshima mwanamke na mwanaume kwa kutumia njia hii ya asili
ukimaliza kupiga mswaki asubuhi, endelea kwa kuingiza mswaki kooni kama unataka kumeza, kwa kufanya hivyo utakuwa kama unakohoa na utatoa maji kama machungu kama nyongo; kile kitendo cha kukohoa kitaifanya ikulu iwe kama inasinyaa na kitendo hicho kinaimarisha misuli ya sehemu nyeti na hii ni hata kwa mwanaume asiyesimamisha na unashauriwa kufanya kila asubuhi.
Source Mama Tere katika kipindi cha Wanawake live cha chanel 10
 
pia kuubana mkojo wakati wa kukojoa ni zoezi zuri.
 
Back
Top Bottom