Wa dada na dawa ya kurudisha heshima

Poleni,
kule kwetu ukiolewa ukakutwa bikra unarudishwa kwenu, tena unapandishwa Punda kila mtu anajua yalokusibu!
Coz huna experience ya kutoa huduma

Mwongo, hakuna mila za kiafrika za namna hiyo labda wewe mzungu vinginevyo unahalalisha umalaya uliofanya
 
Mwongo, hakuna mila za kiafrika za namna hiyo labda wewe mzungu vinginevyo unahalalisha umalaya uliofanya

Ameongopa huyu
Mwanamke kukutwa na bikra ni ujiko wa hali ya juu.
 
Hiyo shabu naifahamu ni jiwe fulani lililosagwa na hutumika sana maeneo ya pwani kusafisha maji ya visima. ukiweka kwenye maji machafu yanatuwama vizuri sana. pia hutumika kutoa weusi kwenye kwapa. It has a verry irritating chemical ukiweka kwenye ngozi. now u can immagine ikiingia ukeni inakuwaje. Wanawake tunahangaika sana na hii miili bila kujua madhara ya baadaye ya vitu tunavyotumia. Ni kweli unapoweka hii kitu inakuwa kama inayeyusha utelezi ulio katika kuta za uzazi thats why mwanamke anakuwa anavuja sana. Baada ya hapo ni kuharibikiwa tu na viungo vyako vya uzazi alivyokupa Mungu.

Kumbe ni kweli. Mimi nilidhani Fidel80 analeta uzushi wa kiliweni! col = crying out loudly.
 
Kwa taarifa, akina dada/mama wanaotumia shabu wengi wame-develop uvimbe kwenye mlango wa uke. Kuna kesi kama hizo nyingi zipo na watu wanahangaika kupata tiba. Hala hala mti na macho
 
wanaume huwa tunarefusha na kuzinenepesha,nyie mmeamua kuzibana,ha ha ha,kaz kweli kweli
 
Hebu waprove wrong tukuone!!

Takwimu zilizofanywa na taasisi moja nyeti sana zinaonyesha kuwa binti anaanza kuchakachuliwa wakiwa na miaka 15. na kw kukadiria wadada hapa jf miaka yao inarange kutoka 20 and above ....... embu nambie kutoka miaka 15 mpk 20 kutakua na ki2 tena hapo.
 
Bamsapu ndio alinipima, sasa ngoja nimuulize alitumia nini nitarejea najibu

Hahahahaha......... ngoja niendelee kusubiri. akikuuliza nani anataka kujua mwambie profesa tehtehteh.....,.
 
hivi sio nyie mnaosemaga vibua vichanga vitamu au nimekosea?.

Takwimu zilizofanywa na taasisi moja nyeti sana zinaonyesha kuwa binti anaanza kuchakachuliwa wakiwa na miaka 15. na kw kukadiria wadada hapa jf miaka yao inarange kutoka 20 and above ....... embu nambie kutoka miaka 15 mpk 20 kutakua na ki2 tena hapo.
 
some women behave like chamelion, they change whenever it is necessary to do so without regard to what their future will be after undergoing such changes! kazi kweli kweli, mweeeeeeeeeH!
 
Mhhhhhhhhh! naona kadiri usiku unvyozidi ndivyo na pepo anavyokazana. Ngoja nikalale mie, naona mimi sio miongoni mwa wasafiri wa meli hii kwa muda huu! kwaherini.
 
Hilo la kichina ni aphrodisiac, yaani inamuongezea hamu mtumiaji au ni faida ya mwanaume tu?
 
hali si nzuri

kwa kweli,kuna jamaa angu hiv juz tu alimpata dent mmoja wa chuo,alipoenda kupiga akakuta ki2 mnato mpaka akashangaa,kesho yake jamaa mshedede ukaanza kuvimba na kuchubuka(ukatoa malengelenge) akawah hospital,daktar alicheka sana,akampatia dawa ya kupaka,sasa hiv amepona,ni hatar kwa kweli
 
Hiyo shabu naifahamu ni jiwe fulani lililosagwa na hutumika sana maeneo ya pwani kusafisha maji ya visima. ukiweka kwenye maji machafu yanatuwama vizuri sana. pia hutumika kutoa weusi kwenye kwapa. It has a verry irritating chemical ukiweka kwenye ngozi. now u can immagine ikiingia ukeni inakuwaje. Wanawake tunahangaika sana na hii miili bila kujua madhara ya baadaye ya vitu tunavyotumia. Ni kweli unapoweka hii kitu inakuwa kama inayeyusha utelezi ulio katika kuta za uzazi thats why mwanamke anakuwa anavuja sana. Baada ya hapo ni kuharibikiwa tu na viungo vyako vya uzazi alivyokupa Mungu.

Sasa kwapa je haliathriki niitafute?
 
Naomba kutofautishiwa kati ya na hiyo shabu maana kunasiku nilipewa dawa ya jino nikaambiwa ni shabu lakini Ufilipino inapigwa marufuku yamkini ni Sembe hapa nazidi kuchanga .............. na ukiwa kama hawa dadaz wanatumia kujirejesha .........loading
methamphetamine
 
Back
Top Bottom