W. Ngeleja noma.

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
Hii jeuri na pesa anapata wapi? ni muda sasa wakazi wa jimbo la sengelema... hawapati haki yao ya kupata habari kwa njia ya magazeti yote yenye taarifa mbaya( yenye haki na ukweli) ya ngereja kwani ata radio/tv weng wao hawanaaa , kinachofanyika ununuliwa yanapofika mwanza mjini kabla ya kuvuka to sengerema.... ok mungu bariki tanzania, na wasukuma kwa kukosa haki yao.
Nawasirisha....
 
Back
Top Bottom