Massenberg
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 1,173
- 1,373
Hivi hawa hawakuwahi kutukana mamba kabla hawajavuka mto?
uzuri mkuu umejitokeza mimi naunga mkono hoja yake wewe vipi unaonaje kuachana na chama kilichomomonyoka kimaadili na kutufikisha hapa since independency compare to the countries like south korea, vietnam etc which we were at the same level?- Mkuu heshima yako sana, ninakukiliza sana tena kwa makini keep on talking!
MUCH RESPECT!
William.
- Mkuu heshima yako sana, ninakukiliza sana tena kwa makini keep on talking!
MUCH RESPECT!
William.
William nakushauri badilisha id kwasababu watu wakiona comment zako wanahamia kwenye hiyo thread na unachoambulia ni kashfa tu le mutuz ha ha ha ha!!!!!!!!!- Mkuu heshima yako sana, ninakukiliza sana tena kwa makini keep on talking!
MUCH RESPECT!
William.
Wakichelewa milango itafungwaTena UVCCM yote ijiunge na BAVICHA:smile::smile::smile:
Wazo lako sio la busara. Uliowataja wanamajina ya waliowahi kuwa viongozi ingawa wao hawastahili kuongoza kwasababu hawana sifa za kiongozi wa Tanzania wa wakati tuliopo.Nawahimiza W.J Malecela na Nape Nnauye wahamiie CHADEMA huko ndiko watapata mawazo ya ukombozi wa kweli, kwani walipo CCM kumeshaoza na hawarekebishiki hata iweje, baba zao kuwa huko sio lazima nao wafie huko au mwasemaje Great Thinkers!
uzuri mkuu umejitokeza mimi naunga mkono hoja yake wewe vipi unaonaje kuachana na chama kilichomomonyoka kimaadili na kutufikisha hapa since independency compare to the countries like south korea, vietnam etc which we were at the same level?
William nakushauri badilisha id kwasababu watu wakiona comment zako wanahamia kwenye hiyo thread na unachoambulia ni kashfa tu le mutuz ha ha ha ha!!!!!!!!!
I don't think Precise pangolin meant what you mean.- Great Thinker, yaaani baada ya miaka 6 ya kula mawimbi ya Red Sea na Bermuda Triangle kule Baharini, nikiwa Seamen, leo unasema nikimbie maneno hapa JF? REALLY?
- Unataka na mimi niwe fisi, yaani muoga muoga kama fisi!, I mean unauzaje utumbo halafu unaogopa harufu, mkuu kama nakutesa ninapoingia na ID yangu kamili pole sana, ila mimi sirudi nyuma sibadili ID never, wewe tukana mpaka utachoka na siendi kokote, this is my home sweet home ati! ha1 ha! ha!
- MKUU NI BAHARIA WACHA KUNIFUNDISHA UFISI, SIKUKIMBIA JKT SIWEZI KUKIMBIA MANENO HAPA, KEEP THAT USHAURI KWAKO MWENYEWE SIUHITAJI KAMWE!
Willie!
Judith kishua wabunge wa viti maalum ni mpango ambao chama chako kilianzisha ili kupata nyumba ndogo, ni sawa swala miss je unajua ni soko la mbuzi?
mkuu usichelewe, pale Mtera upinzani ulikosa mtu na ndo maana yule mtu wa matusi alishinda kirahisi na huko CCM uliona mwenyewe uchaguzi wa wabunge wa africa mashariki ulivyojaa rushwa. Huku CHEDEMA hakuna rushwa na watu wa Mtera watakuona umekwenda na vision mpya lakini ukirudi na CCM wataona huna jipya- Mkuu sawa sawa keep on coming, I mean keep on talking ninasikiliza kwa makini sana!
REPSECT!
Willie @DSM City!