Kweli hali ya maisha ni
ngumu; kushambuliana kwa maneno yenye kebehi hakuwezi kutusaidia kutatua
hali zetu za maisha; pamoja na tofauti zetu za kisiasa kama watanzania
tunaweza kujadili mustakabali wa taifa hili bila matusi; cha ajabu zaidi
mtoa mada amemfahamu Willy kwa kusoma threa za JF; jadili unachofahamu
kama huna nyamaza.
Chama
Gongo la Mboto DSM.
THE HOME OF GREAT THINKERS! Mimi nafkiri kuna haja tukae na kutafakari kuliko kuendelea kujadili masuala binafsi yasiyo na faida kw jamii yetu, vinginevyo tutajeuka BENDI ZA TAARAB NA MIPASHO.