W J Malecela anafikiria au zuzu .asilimia 100%

Status
Not open for further replies.
Kweli hali ya maisha ni
ngumu; kushambuliana kwa maneno yenye kebehi hakuwezi kutusaidia kutatua
hali zetu za maisha; pamoja na tofauti zetu za kisiasa kama watanzania
tunaweza kujadili mustakabali wa taifa hili bila matusi; cha ajabu zaidi
mtoa mada amemfahamu Willy kwa kusoma threa za JF; jadili unachofahamu
kama huna nyamaza.

Chama
Gongo la Mboto DSM.

THE HOME OF GREAT THINKERS! Mimi nafkiri kuna haja tukae na kutafakari kuliko kuendelea kujadili masuala binafsi yasiyo na faida kw jamii yetu, vinginevyo tutajeuka BENDI ZA TAARAB NA MIPASHO.
 
Nashauri wana JF tususie kuchangia threads kama hizi. It is a waste of time and energy to even comment on a malicious and pointless thread like this!
 
- ha! ha! ha! Le Mutuz!! Le Big Show!! LE Baharia, wakuu wote heshima mbele sana you know, ha! ha! ha!, tupo wote people one page if you know what I mean, ndio kwana nimemaliza interview na Mwananchi Media, sasa naelekea Twanga Sugu, huku Maisha Club, kesho Sitakishari, kwenye mualiko wa Kiota Jungle!

- HUKU BONGO SAA IZI NI USIKU SANA SO KESHO WANDUGU, NA KIDUMU CCM!!

William.


Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
 
Grow up mkuu! Watu wanakushangaa, hapo ulipo unakaribia miaka 50, una serious weight issues lakini bado tu unaendeleza maisha ya clubbing Bongo utadhani yankee wa miaka 17. Huo ni ushamba ndugu. Una hata kibanda Bongo, au unaishia kulala kwa Mzee Masaki na kwa ndugu na marafiki baada ya kurudi kutoka kwenye starehe saa 11 asubuhi?

- Hizi bongo wanaita swaggaz yaani hujui lolote on the man lakini unakurupuka tu, ha! ha! ha!, halafu tizama unasema Clubs zinatakiwa kuingiwa na watoto wa miaka 17, unasema haya maneno yanatolewa na Great Thinkers! ha! ha! ha! ha! kwamba wanoenda Clubs ni washamba! ha! ha! ha!

- I see I am back home, Twanga Pepeta pamoja na kuondokewa wapigaji wengi bado wapo juu sana it a great show, karibu sana next time! ha! ha! ha!


- RESPECT MUCH BRO!!


William.
 
- Hizi bongo wanaita swaggaz yaani hujui lolote on the man lakini unakurupuka tu, ha! ha! ha!, halafu tizama unasema Clubs zinatakiwa kuingiwa na watoto wa miaka 17, unasema haya maneno yanatolewa na Great Thinkers! ha! ha! ha! ha! kwamba wanoenda Clubs ni washamba! ha! ha! ha!

- I see I am back home, Twanga Pepeta pamoja na kuondokewa wapigaji wengi bado wapo juu sana it a great show, karibu sana next time! ha! ha! ha!


- RESPECT MUCH BRO!!


William.


Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
 
- Hizi bongo wanaita
swaggaz yaani hujui lolote on the man lakini unakurupuka tu, ha! ha!
ha!, halafu tizama unasema Clubs zinatakiwa kuingiwa na watoto wa miaka
17, unasema haya maneno yanatolewa na Great Thinkers! ha! ha! ha! ha!
kwamba wanoenda Clubs ni washamba! ha! ha! ha!

- I see I am back home, Twanga Pepeta pamoja na kuondokewa wapigaji
wengi bado wapo juu sana it a great show, karibu sana next time! ha! ha!
ha!


- RESPECT MUCH BRO!!


William.

kudos William. una ngozi ya mamba. pamoja na kutukanwa kote u still reacts humorously! BIG UP!!!
 
kudos William. una ngozi ya mamba. pamoja na kutukanwa kote u still reacts humorously! BIG UP!!!

- Ni mti wenye matunda you know! ha! ha! ha! ha!, Mungu hakupi mzigo bila mabega ya kuubeba, ndio faida na hasara za umaarufu bro, lakini yote heri tupu! ha! ha! ha! halafu biashara ya utumbo niliitaka mwenyewe!1 so!1 ha! ha1


William.
 
Binafsi huyu jamaa namchukulia kama mtoto mdogo. Kama kiumri ni mkubwa basi interms of brain he is too young to think.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom