W J Malecela anafikiria au zuzu .asilimia 100%

Status
Not open for further replies.
Tokea nimeanza kusoma maelezo yake uku ndani naona ni mtu ambaye akishindwa anatapata kama kuku aliyekatwa shingo angalia ndani NDIYO Ameanza .. .ata mzee wako alikosa nafasi ya kugombea urais kwa maneno yake matatizo yako inabidi ungalie kwanza ndani ya chama changu kuna wasafi au nayazungumza namini kuwepo jamvini ukizungumza kuhusu Mbowe ameanza biashara miaka mingi alafu wewe unakumbuka baba yako
aliwambia wananchi wake wale pumba kama kuna njaa kwahiyo sikutofautishi na yeye kwakuwa katika uwaziri mkuu wake ameifanyia nini Tanzania wewe imefika wakati unashiriki kwenye siasa ya utumbo unavyodai hiYo ni dharau kubwa kwa watanzania na pia nikulize swali kwanini unashiriki siasa za utumbo ?

Mkuu hoja hujibiwa kwa hoja. Great thinkers maana yake ni kufikiri na kudadavua mambo na wala si matusi. Hivi Willy angekuwa anatumia jina kama unalotumia wewe (disguised) ungepata wapi matusi hayo ya kumtukana yeye na baba yake?

Nadhani ni vyema tukawapa haki zao hawa wenzetu ambao ni Verified Users kwa kuwa wamethubutu kujitokeza hadharani wakati waengine tunapiga risas huku tukiwa vichakani na hatuonekani. Kuna thread kama tatu za kumshambulia Willy, nadhani hii si haki kwa kuwa mashambulizi yenyewe si mashambuliz yenye hoja za kufikirisha bali matusi na kejeri.

Tujisahihishe JF isionekane ni kijiwe cha kutukanana.
 
watu mna stress za maisha humu ndani dah...wivu,chuki..sijui huyu mtoa mada ni mzanzibari
 
Humu jf tuna vichaa wengi sana japo sio mpaka waokote makopo!.

Kama Willy amesema mahali siasa za Tanzania ni siasa utumbo, mleta mada alipaswa kwanza kutuonyesha huo utumbo aliusemea wapi, post au kama ni fb au kwenye blog yake ndipo ushushe lawama, kulaumu tuu bila kuonyesha chanzo cha hizo lawama, nao pia ni ukichaa na sio lazima uokote makopo!.

Pamoja na shutuma zao, naombeni sana kila mtu awe judged by his/her own merit!. Sio haki kumshutumu mtoto kwa makosa ya baba yake!. Huku sio kumtendea haki!.

Pasco!.
Pasco well said. Nahisi kuna njama za makusudi za kuichafua JF ili ionekane ni kijiwe cha matusi na wala si pahala ambapo ni chemichemi ya hoja zinazotikisa na kuangalia mustakabali wa nchi yetu. Hivi mtu anaamka na kuanza kumshambulia mwingine bila sababu, hii inatusaidia nini hapa kwenye hii forum? Kama mtu ana bifu na mwenzake atumie PM wamalizane.
 
Last edited by a moderator:
JF tujitahidi kuachana na kuwajadili watu wa kawaida kabisa kama kijana William Malecela, mwacheni ale maisha kwani ni kijana permanent. Lets leave him alone.
 
Mkuu hoja hujibiwa kwa hoja. Great thinkers maana yake ni kufikiri na kudadavua mambo na wala si matusi. Hivi Willy angekuwa anatumia jina kama unalotumia wewe (disguised) ungepata wapi matusi hayo ya kumtukana yeye na baba yake?

Nadhani ni vyema tukawapa haki zao hawa wenzetu ambao ni Verified Users kwa kuwa wamethubutu kujitokeza hadharani wakati waengine tunapiga risas huku tukiwa vichakani na hatuonekani. Kuna thread kama tatu za kumshambulia Willy, nadhani hii si haki kwa kuwa mashambulizi yenyewe si mashambuliz yenye hoja za kufikirisha bali matusi na kejeri.

Tujisahihishe JF isionekane ni kijiwe cha kutukanana.

Kimbunga,

Hongera kwa busara yako!

Angalizo lakini kwa yafuatayo:

  1. WJM si member pekee aliyetoka hai(come out live) wako wengi tu. Hembu jiulize kwa nini yeye tu anashambuliwa(kama ni kweli anashambuliwa)
  2. Binafsi nimemgundua kuwa ni mtu aliyebadiilka sana taoka ''arejee'' nyumbani. Sijajua ni kwa nini
  3. Naye si haba kushambulia au kutetea upuuzi
 
Huyu jamaa ni kilaza sana. Umbo lake na akili yake haviendani! Hongereni wabunge kumpiga chini ubunge wa east africa
 
Wakati akiwa @NY, nilikuwa nadhani ni mtu wa maana kama MMM. sasa nilipomuona bungeni anaomba kura za EALA na alipokosa hizo thread anazoanzisha, nimegundua WILLY NA KIBONDE ni sawa kasoro Kibonde ni mtangazaji na Willy ni baharia.
 
hapa atumshambulii ila tunauliza hizi siasa za utumbo kwanini anashiri nani mwenye makosa na kwanini ashiki kama ajasema hivyo aje akanushe
 
Le Mutuz, Le Baharia, Le Big Show @ New York City ha ha ha ha ha ha ha!!!

This hommie is very friendly lakini watu mnatafuta jinsi ya kumfanya mbaya. Anyway, ilisimwa kuwa mti wenye matunda ndio utakaopigwa mawe.
 
Pasco well said. Nahisi kuna njama za makusudi za kuichafua JF ili ionekane ni kijiwe cha matusi na wala si pahala ambapo ni chemichemi ya hoja zinazotikisa na kuangalia mustakabali wa nchi yetu. Hivi mtu anaamka na kuanza kumshambulia mwingine bila sababu, hii inatusaidia nini hapa kwenye hii forum? Kama mtu ana bifu na mwenzake atumie PM wamalizane.

Attention inahama kutoka kwenye hoja kwenda kwenye individuals. Pengine ni kwa bahati mbaya au kwa makusudi. Who knows?
 
That is too radical.. Ni uhuru wa mawazo, na yeye ndo alivyoona, nami nakubaliana naye...kwanini mtu uhubiri ujamaa wakati unaishi kibepari? Ni unafiki mkubwa.....
Hafu wewe unavyomlinganisha na babake kushindwa ubunge waona unaakili? Au ulivyojenga hoja, hata isiyo na mpangilio unajiona kichwaaa, hahahaaaaa....watu bwana..
wewe pia ni kilaza kama yeye,huku hataku hoja zisizo na msingi,kama vipi aende fb alaaaaaaaaaa.historia haifi ndo maana tunamfananisha na dingi ake,kama vipi aprove ustarabu wake,alfu kunawtu mnapenda kuwasemea watu hasa watoto wa mafisadi humu,duh sijui mnapata vijisent.
 
Humu jf tuna vichaa wengi sana japo sio mpaka waokote makopo!.

Kama Willy amesema mahali siasa za Tanzania ni siasa utumbo, mleta mada alipaswa kwanza kutuonyesha huo utumbo aliusemea wapi, post au kama ni fb au kwenye blog yake ndipo ushushe lawama, kulaumu tuu bila kuonyesha chanzo cha hizo lawama, nao pia ni ukichaa na sio lazima uokote makopo!.

Pamoja na shutuma zao, naombeni sana kila mtu awe judged by his/her own merit!. Sio haki kumshutumu mtoto kwa makosa ya baba yake!. Huku sio kumtendea haki!.

Pasco!.

Nakubalina na PASCO,

Ila kama kweli imefika Wilium anasema siasa za TZ in Utumbo basi na sisi tunaofanya haya mageuzi humu nchini tutakuwa na matatizo kwa mujibu wa Wilium kama mleta uzi atathibitisha hilo...

Unajua tatizo letu ni kwamba mtu anakuwa na malengo Binafsi na nafasi hizi za kuongoa watu... Swali langu ni kwamba kwa nini mara nyingi watu wanapogombea na kushindwa katika mazingira yeyote huishia kutoa maneno ya ajabu? na kutokwa na mate mdomoni? Huu ndiyo ule Ubinafsi ambao hautakiwi...

Kwani ni Lazima wewe uwaongoze wananchi? Kama hawakutaki ni lazima wewe? kwanini mtu asionyeshe juhudi binafsi ili akigombea tena achaguliwe?

Wiliuma alishindwa kwa sababu ya Mfumo Mbovu wa uchaguzi nchi na Rushwa ya kutisha ndani ya CCM... sasa kwanini asikilaumu chama chake cha CCM na waliotoa Rushwa?

Nashauri tutumie lugha ya busara kidogo..
 
haya ndio W J Malecela aliyoyasema nanukuu tarehe 28 may mimi mwenyewe nimeamua kuingia kwenye biashara ya UTUMBO YANI SIASA sijawai kuogopa harufu yake kwa hiyo nani kasema tuyaeke kwa mapana na marefu nani kawakera watanyania
 
nani kawakera watanzania kama siasa ni utumbo yeye si aendelee kuwa bahari tunataka majibu kutoka kwakwe ya utumbo wa siasa ni upi
 
WILLIAM ANALETA UTANI NA WATANZANIA MAISHA HAYA NI MAGUMU SABABU YA CCM,KWA SABABU KINAONGOZA KWA MANUFAA YA WANA CCM TU,NDIO MAANA WALISEMA CCM INA WENYEWE NA WENYEWE NI CCM NA TANZANIA INA WENYEWE NA WENYEWE NI PEOPLE'S POWER.SUKITA ILILIWA NA WANACCM TANZANIA IMEUZWA NA MKAPA MWANA CCM SASA WATU WANCHUKIA UBADHILIFU WA CCM NA MAKADA WOTE HIVYO MALECELA HUPONI HUMO.M4C FOREVER.:israel:
 
Huyu Wille katuchoka na uku akumbuke safari yake kwenda Dodoma ndio ilipoanzia hivi Ana undugu na Lusinde
 
Kusomea nje au kukaa nje haina maana kuwa una akili,ungekuwa mtoto wa mkulima na umefika huko kwa juhudi zako tungesema una akili ,lakini kama ulibebwa kama jeneza haimaanishi kwa vile uko ulaya basi una akili.Nafahamu wengi walio huko ambao ni matahira na hawana mpango wowote.Nyiyi ndio Hakina Hashimu Thabiit ambaye kakaa huko sijui miaka mitano ,sasa hivi anajifanya kasahau Kiswahili.

Anaongea km teja!
 
Tokea nimeanza kusoma maelezo yake hapa jukwaani anaonekana kama mtu ambaye akishindwa anatapata.

Hata mzee wake alikosa nafasi ya kugombea urais kwa maneno yake, matatizo yako William Malecela, inabidi ungalie kwanza ndani ya chama chako kama kuna wasafi au la. Siasa za Tanzania zinahitaji kujipanga haswa.

Siasa za kuchafuana kama ilivyokuwa hapo awali zimepitwa na wakati. Eleza mikakati yako na ukipata nafasi uwe mtekelezaji.

Tumia ushawishi zaidi ya mbinu chafu

Wiliam Malecela anafikiria au zuzu asilimia 100%. Hivi kuna mtu mwenye kutumia akili zake kufikiri vizuri na mwenye kuweza kuchambua mbivu na mbichi aunge mkono marehemu mtarajiwa CCM?
 
IDDI AMIN ALICHUKIWA KWA KUWA DIKTETA NYERERE ALIPENDWA KWA KUWAPIGANIA WANYONGE MANDELA HATASAHAULIKA KWA KUKATAA UBAGUZI CCM INAKATALIWA SABABU YA UFISADI NA WILLIAM UNCHUKIWA KWA KUOGEA PUMBA:violin:
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom