Umeviona wapi ivyo vyuo vichache?Diploma
Mfundisheni mwenzenu kutoa taarifa na evidence..... pia mfundisheni awe anafanya search mitandaoni (googlwe, yaho etc) kwa vitu anvyovitafuta! Taarifa za uchache amezipata wapi. Naye huyu kamaliza form 4/6 eti anaomba chuo!Umeviona wapi ivyo vyuo vichache?
Tuanze apo kwanza.
Mwenzangu nimempata wapi?Mfundisheni mwenzenu kutoa taarifa na evidence..... pia mfundisheni awe anafanya search mitandaoni (googlwe, yaho etc) kwa vitu anvyovitafuta! Taarifa za uchache amezipata wapi. Naye huyu kamaliza form 4/6 eti anaomba chuo!
Guide book ipi uloangalia wewe mimi mbona sijaiona hiyo?Si kwenye guide book
Now ndio nimeangalia nimekuta hvyo maan kama wiki moja au mbili niliangalia nikakuta vipo vyote mpaka private thus why ndio nikakuuliza umeitoa wapi?Habari za humu wana jf....
Mbona mwaka huu vyuo vinavoruhusu kufanya udahil kada ya afyya ni vichache sana alafu pia ni government pekee au kuna sehem nakwama
Nimeshaangalia wameeka vya government tu sijuwi kwanini wakati juzi tu nimeangalia vipo vyote.Ungeangalia tena ndo uje kureply
System ya nn?Alafu jana system ilikua open now wameclose
Ingia website ya nacteNipe link
mwaka huu hawajaweka limitation za watu waliomaliza miaka ya nyuma kuapply kozi za afya na ualimu vyuo vya serikali.Ndio mkuu