Vyuo vya afya mbona ni vichache sana mwaka huu

runtown

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
629
1,000
Habari za humu wana jf....

Mbona mwaka huu vyuo vinavoruhusu kufanya udahil kada ya afyya ni vichache sana alafu pia ni government pekee au kuna sehem nakwama
 
  • Thanks
Reactions: ita

runtown

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
629
1,000
Wakuu mbona hamchangii ase au sieleweki au ilitakiwa nipost kwenye jukwaa la migegedo nn
 
remedy50

JF-Expert Member
Apr 14, 2014
653
500
Habari za humu wana jf....

Mbona mwaka huu vyuo vinavoruhusu kufanya udahil kada ya afyya ni vichache sana alafu pia ni government pekee au kuna sehem nakwama
Now ndio nimeangalia nimekuta hvyo maan kama wiki moja au mbili niliangalia nikakuta vipo vyote mpaka private thus why ndio nikakuuliza umeitoa wapi?
 
Top Bottom