Kilichofanyika mikopo elimu ya kati si sawa

Mkoba wa Mama

Senior Member
May 5, 2021
113
45
Wizara ya elimu imetoa muongozo wa utoaji mikopo kwa vyuo vya kati, lakini cha kushangaza kozi muhimu za fani ya afya (Clinical medicine, Pharmacy na Nursing) zimewekwa pembeni.

Katika muongozo huo serikali imefafanua kuwa mikopo itatolewa kwa programu za kipaumbele, kwa maana hiyo serikali inamaanisha kozi hizi za afya kwa sasa si za kipaumbele katika taifa hili?
 
Back
Top Bottom