G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,555
- 35,880
Post ya kitoto!
Imeletwa na mtu mzima!
Mkuu aliyeanza utoto ni gazeti hilo la habarileo....Hii nayo ni habari..???
Post ya kitoto!
Imeletwa na mtu mzima!
Hao IFM na CBE wanazitumia kwa kuangalia mambo ya kitoto kama wao walivyo na mambo ya kitoto...Ila kwa UDSM kielimu zaidi...!
Baru pepe
Nilikua namaanisha kwenye simu (whatsapp)...ile ntumie picha yako basiiiii. hahahaaNgoja nikusahihishe ni #TeamWekaPicha mkuu!!!!!!
Hongereni Sana Wazee Wa Kilimo Kwanza SUA Kwa Kutokuwapo.
Wakati zikitangazwa nchi zenye matumizi makubwa ya Smart phone Africa na Tanzania kushika nafasi ya pili nyuma ya Nigeria, Pia imetolewa chati inayoonyesha matumizi ya simu za kisasa (smart phones) katika vyuo vya elimu ya Juu nchini, huku chuo cha CBE kikitajtwa kuwa na matumizi makubwa ya Smartphone ambapo wanafunzi wenye Smartphone ni asilimia 89.7.
ORODHA KAMILI HII HAPA!
1.CBE
2.IFM
3.SAUT-Mwanza
4.UDSM
5.IMTU
6.UDOM
7.MUHIMBILI
8.TUMAINI-Iringa
9.SUA
10.ARDHI
11.MIPANGO-Dodoma
12.DIT
13.BUGANDO
14.KAMPALA
15.ST.JOHN-Dodoma
16.RUCO
17.KCMC
18.JORDAN UNIVERSITY
19.MUCCOBS-Moshi
20.MAKUMIRA BIBLE SCHOOL
My Take: Watuletee na majina ya vyuo vinavyotoa wanafunzi bora watakaoleta ushindani katika soko la ajira Afrika mashariki na duniani kwa ujumla.
SOURCE: Habari Leo
jamani kile chuo cha ile dini yetu hakipo kweli, huu ni mfumo kristo! tuandamane
jamani kile chuo cha ile dini yetu hakipo kweli, huu ni mfumo kristo! tuandamane
Kuua soko la saa za mikononi kama seiko 5 , motima n.kVile vileee, tukumbuke na hili..
Madhara ya ujio wa simu especially smart ones...
...1. kuua soko la tochi
2. kuua soko la radio ndogo za mkononi
3. kuua biashara ya internet cafe
4. kuua soko la camera
5.kuua soko la atlas (ramani)
..........
..........
hebu ongezea zako
hongera sana KAIRUKI hampo kabisa hao SUA mbona wapo kwenye kumi bora, namba 9Hongereni Sana Wazee Wa Kilimo Kwanza SUA Kwa Kutokuwapo.