Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

wapendwa nimeapply vyuo mbalimbali na bahati mbaya cjapata post hata 1 .kwa sasa nimebakiza selection 1 nayo ni ya DMI.mwenye kujua wanatoa lini pls ni julishe
 
itakuwa anazungumzia wdmi ya pale ubungo huyo....
ama kwel dogo kashaliwa kchwa
hata jna la chuo chake halijui.....WDMI ndo knaitwa
ie water development and management institute
 
Dar es salaam Maritime Institute DMI
cc: Slaker
 
Last edited by a moderator:
Jamani salaam naomba nisaidieni nijue huyu mdogo wangu anaenda wapi kitendea kazi changu ni kidogo napata shida kutafuta.Vyuo alivoomba ni udom,kisanji tabora,tumaini dar,st agustino na st johns.S1898/0017/2010 hezron marwa.ntashukuru
 
wapendwa nimeapply vyuo mbalimbali na bahati mbaya cjapata post hata 1 .kwa sasa nimebakiza selection 1 nayo ni ya DMI.mwenye kujua wanatoa lini pls ni julishe

Washatoa DMI, check kwenye website Yao.. tena Toka week Ilopita.. unaitwa Nani na course gan Nkuchekie. .
 
Back
Top Bottom