achana na nacte now wamezidiwa na kazi chakufanya we ingia kwenye kila web ya vyuo ulivoomba thn angalia kama jina lako lipo,dats how we do.... mi vyote kavu bado chuo kimoja2 na ndio ilikua first selection yangu,so don worMwenye taarifa mpya kuhusu hawa jamaa wa NACTE naomba anijuze. Kwamaana mwenendo wao unakatisha tamaa..