Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Ukiingia utajua upo selected chuo gan hata kabla chuo hakijatangaza.
 
Bas inategemea koz kuna watu ambao waliomlala mzumbe na TIA inaonesha upo selected mfano mm mwenyew nipo selected TIA
 
TIA lakn kwny confirmation status wameandika Not yet na hiyo itabdilika TIA wakifny confirmation
 
KAMA UNAJUA ULIFANYA SECOND ROUND APPLICATION ALAFU UKACHAGUA FACULTY BILA KUSOMA VIZURI GUIDEBOOK YA TCU VIZURI KUNA UWEZEKANO WA KUKOSA CHUO.Mfano kama umechagua b.sc in phy UDOM, kwa mujibu wa guidebook ni lzm uwe na principal pass (C) ya phy alafu ww una D.
 
Hivi kumbe hili tatizo la kushindwa kutofautisha faculty na degree program linawatafuna wengi eeh!.
 
jamani kwani muhimbili tiyari walishatoa au mbona kimya sana naomba tujuzane kwa anaefahamu
 
Back
Top Bottom