Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Mi nimechanganyikiwa wajameni sioni jina la mdogo wangu kwenye selection za vyuo vyote japo profile status yake wameandika yuko selected nisaidieni mawazo
 
Habari wakuu,

Vyuo mbalimbali vimeanza kutoa majina kwa waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu. Stella Maris Mtwara, Makumira, St.Joseph, Saut, CUHAS na vingine. Nitaendelea kuwafikishia kadri vyuo husika vinapoweka. Majina yanaonekana kwenye links hapa chini

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA TENGERU (CDIT)

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO CHA ARDHI (ARU)

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA CHUO CHA MIPANGO DODOMA (IRDP)

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU DODOMA (UDOM)

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA CHUO CHA BAGAMOYO

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA CHUO CHA KILIMO SOKOINE (SUA)

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM (UDSM)


MAJINA YA WALIOCHAGULIWA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA (IIA)


MAJINA YA WALIUCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO CHA BIASHARA (CBE)

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA CHUO CHA MTAKATIFU AUGUSTINO


MAJINA YA WALIOCHAGULIWA CHUO CHA STELLA MARIS MTWARA

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA CHUO CHA USMAMIZI WA FEDHA (IFM)

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO CHA MWENGE (MWECAU)

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA CHUO CHA AJUCO TABORA

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA MUM-DIRECT APPLICANTS
MAJINA YA WALIOCHAGULIWA MUM-EQUIVALENT APPLICANTS

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO CHA MTAKATIFU JOHN (ST. JOHN)

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO CHA TEKU

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KCMC.xls


MAKUMIRA PROPOSED STUDENTS 2014/2015


ST Franscis MD Batch one
ST Franscis MD Batch two
ST Franscis MD Batch Three


BUGANDO BScN_2014
BUGANDO MD
BUGANDO MEDICAL LABORATORY
BUGANDO PHARMACY
BUGANDO NURSING

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA RUAHA (RUCO)


MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY






T.I.A kimyaaaa
 
nimechanganyikiwa wajameni sioni jina la mdogo wangu kwenye selection za vyuo vyote japo profile status yake wameandika yuko selected nisaidieni mawazo
 
nimechanganyikiwa wajameni sioni jina la mdogo wangu kwenye selection za vyuo vyote japo profile status yake wameandika yuko selected nisaidieni mawazo

ulivyopanic balaa unauhakika jina halipo ? namaanisha umeangalia wemwenyewe?
 
ulivyopanic balaa unauhakika jina halipo ? namaanisha umeangalia wemwenyewe?

Nimepanic kweli mpendwa cz since usiku natafuta sioni nashukuru jf kunamtu kani hekia ameliona siunajua hata visimu vingine ni balAa.mpaka ifungue hiyo net ni mwaka.
 
Nimepanic kweli mpendwa cz since usiku natafuta sioni nashukuru jf kunamtu kani hekia ameliona siunajua hata visimu vingine ni balAa.mpaka ifungue hiyo net ni mwaka.

nimekuwekea mm hapa kwenye ile stutus ya upande wa pili
hope umeshusha presure
 
msaada kwa mwenye lnk ya majna waliochagulwa kujunga na chuo cha muhimbil na hubet kairuki,..Mungu awabarik sana.
 
Check profile yako kama una diploma inaonyesha waliochaguliwa
 
nit haya hapahttp://www.nit.ac.tz/index.php?option=com_phocadownload&view=category&id=8&Itemid=657
 
Kuna zingine zimebadilika yangu inaniambia nipo selected TIA, Lakn NACTE wanasubir confirmation kutoka TIA
 
Ambao bado wawe na subira kuna mambo mengi yanaendele kuhusu qualification yako. we sio sawa na form 6 wao wana masomo machache na yako uniform ila diploma ni nyingi na zinatofautiana sana so mchakatowake ni mrefu. Checking in progress in maanisha bado swala lako linashugulikiwa aidha kutafuta nafasi kwenye chuo ulichoomba au kuangalia kama waweza soma hiyo degree kwa diploma uliyo nayo. kwa taarifa nilizo nazo except watu wa engineering na afya wengine wote kama unavigezo chuo utapa ni subira tu ndio itavuta heri.
 
nimekuwekea mm hapa kwenye ile stutus ya upande wa pili
hope umeshusha presure

Madege naomba link ya chuo cha tumaini dar au kama hutojali nicopyie file lenye majina maana sijaona kimeo changu hakikubali
 
Back
Top Bottom