Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

mkuu samahan nilikuwa naswali kwenye profile yangu ya tcu nimechaguliwa udom bachelor of education with ict na hapo kwenye majina hata sipo kwenye hiyo facult sasa sijui nifanyeje??? nahitaji ufahamu wakuu??
 
Nlikua nauliza kama majina ya waliochaguliwa mzumbe au ardhi kama yametoka..kama unajua naomba unisaidie link
 
Back
Top Bottom