Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

Msaada kama mwenye majina ya waliochaguliwa Tia, Mzumbe, Udom ayaeke waz,.. mUngu awabarik sana
 
Majina yote yatatolewa na TCU leo saa 10 alasiri
 
Jaman nauliza kama UDOM na SUA kama wameshatoa nimesubili sana mpaka nahisi kuchoka. Mwenye taarifa kamili atuambie.
 
We jamaa jifunze kuandaka vizur vichwa vya habar.. tunapeana presha bana
.. agggrr😡😡😡😡
 
jamani naomba mwenye any newz kuhusu iringa university( formally tumaini universit y anipe badi wakuu
 
Msaada pliz wenye link ya majina ya waliochaguliwa OPEN UNIVERSITTY au ZIFA kwa mwaka wa masomo 2014/2015
 
Back
Top Bottom