Tangazo la leo kuwa mwafunzi ajichagulie chuo kikuu cha kusoma linaenda kuvirudisha vyuo vikuu vya taasisi za kidini nchini. Mpango wa TCU wa kuwapangia wanafunzi chuo gani wasome uliyumbisha na kupunguza idadi ya wanafunzi ktk vyuo vya SAUT,RUCU,ST.JOHN nk. Wanafunzi wengi walilazimishwa kwenda kusoma vyuo vya serikali. Leo vyuo vikuu vya binafsi vinaenda kufufuka tena. Wazazi wanapenda watoto wao wasome sehemu SALAMA KIMAADILI.