Uamuzi wowote wa kuinusuru elimu yetu huo ni mmoja wao, waziri ajielekeze kuwekeza kwenye elimu ya ufundi.
walimu wengi pia uwezo wao ni mdogo sana kufundisha Bachelor, aachilia mbali kiwango cha elimu.
Hakuna sababu za kufunga vyuo, nadhani ni muhimu vyuo hivyo vikashushwa madaraja na kuendeleza elimu ya ufundi na utoaji wa course zenye uhitaji mkubwa kwa jamii, hasa masomo ya sayansi.
Inafika muda unajiuliza hivi inawezekanaje vyuo vyote vikawa course zao ni HR, ACCOUNTING, BA, MARKETING, PROCUREMENT, ICT, na Education....something must be wrong somewhere....
Hatujachelewa kuirudisha hii nchi in those days where a degree was a Bachelor Degree.... sio sasa.....
GO make it happen Prof.
asipo angalia anaweza leta mgogoro wa kidini hapo.Si useme SAUT.
Mtaangalia je anachokifundisha ni sahihi?Na unafikiri tutajiridhisha vipi kuwa huyu mwalimu anakijua anachokifundisha??
Aaah hiki cha moshi kama sekondari vileasipo angalia anaweza leta mgogoro wa kidini hapo.
Labda kv unajiita Analyst but you know nothing na ninachokuambia ndio ukweli wenyewe otherwise, sema wewe why do you think SUA kuna PhD holders wengi sana kuliko MUHAS. Kama unataka kufahamu elimu yangu ni Form IV but am probably even much better than your cra'p paper degrees bila kujali unazo ngapi! Na kuonesha ukweli wa haya nisemayo, badala ya kutoa hiyo reasoning yako unayodhani ndio excellent reasoning, unaanza personal attack.... what a nonsense!Naomba kufahamu umri wako na kiwango chako cha elimu. Maana hiyo reasoning yako hata inanifanya niamini kuwa jamiiforum imeingiliwa
Mkuu ktk research unahitaji kuhusisha watu mbalimbali japo supervisor anapaswa kuwa phd holder, Swala la Master holder kumsimamia mwanafunzi wa masters linategemea number of publications, kumbuka wengine ni masters holder lkn wako na publications nyingi na wameshakua na uzoefu. Tatizo linakuja pale mtu kagraduate masters jana hafu leo anamsimamia resident, hii Prof. Aboud hawezi kubali.wacha ku
Wacha hizo hakuna kitu kama hicho tunaposema ku supervise namaanisha kukupa maelekeze kwenye thesis yako una ambae anakuongoza kufanya research na kuandika thesis na sizungumzii wodini hata siku moja na vile vile kwenye mitihani lakini MUHAS kitu hicho ni cha kawaida
Na watu nao wamekua wengiYaani siku hizi vyuo vimekuwa vingi utafikiri shule za Sekondari.
Kitu hicho hakuna duniani Master holder hata siku moja huwezi kusimami mwanafunzi wa master kwa sababu imezoeleka Tanzania ndiyo maana watu wanahisi kitu normal lakini na ndiyo maana kila leo vyuo vyetu viko rank ya chini kwa sababu hiyo.Kwa wenzetu kama si Ass Pro kwa Master student na Full Pro kwa Phd Student ndiyo unaweza kusimamia mwanafunzi ma master au Phd.Sitaki kumataja jina kuna kindindi faculty member mmoja wa OBGY alikuwa na supervise mwanafunzi wa master huku ikiwa yeye ame graduate mwaka mmoja uliopita.Mkuu ktk research unahitaji kuhusisha watu mbalimbali japo supervisor anapaswa kuwa phd holder, Swala la Master holder kumsimamia mwanafunzi wa masters linategemea number of publications, kumbuka wengine ni masters holder lkn wako na publications nyingi na wameshakua na uzoefu. Tatizo linakuja pale mtu kagraduate masters jana hafu leo anamsimamia resident, hii Prof. Aboud hawezi kubali.
Kitu hicho hakuna duniani Master holder hata siku moja huwezi kusimami mwanafunzi wa master kwa sababu imezoeleka Tanzania ndiyo maana watu wanahisi kitu normal lakini na ndiyo maana kila leo vyuo vyetu viko rank ya chini kwa sababu hiyo.Kwa wenzetu kama si Ass Pro kwa Master student na Full Pro kwa Phd Student ndiyo unaweza kusimamia mwanafunzi ma master au Phd.Sitaki kumataja jina kuna kindindi faculty member mmoja wa OBGY alikuwa na supervise mwanafunzi wa master huku ikiwa yeye ame graduate mwaka mmoja uliopita.
Umeongea jambo la maana sana NAPENDEKEZA USHAURI HUU UFANYIWE KAZI NA WIZARA HUSIKA.Well said. Hili wimbi la kuongeza degree za HR, Accountancy, marketing, Ualimu wa civics na english ndio unaharibu hii nchi. Hayo maeneo siyo priority areas kwa sasa. Tunahitaji watu wa kwenda kufanya kazi na wananchi. Tunahitaji maafisa ugani wa kwenda kusidia wananchi wetu kwenye kilimo, mifugo, uvuvi and the likes.
Hao marketing managers, HRO, na wahasibu wao wakimaliza wanajibana mjini wanawaza kuajiriwa na makampuni makubwa tu. Production ya hao graduates inaongezeka kila mwaka lakini hao watu hawana msaada mkubwa kwa 80% ya watanzania waliopo vijijini zaidi ya kulalamika hakuna ajira. Mtu kasoma HR, uhasibu courses inayotolewa na kila chuo then anategemea ajira za kumwaga? U have to demonstrate kitu ambacho ni extraordinary ili uajirike kirahisi. Otherwise huyo mtu akafanye kazi kanisani au kafunge hesabu za wahindi maana na uhasibu wake hata CPA haimudu
Badala ya kujikita kwenye first degrees, serikali i-concentrate kwenye watu wa kufanya kazi na rural sector. Pia kwenye vyeti vya mafundi mchundo, uashi ili watu wajiajiri wenyewe wasije lalamika hakuna kazi za kuajiriwa. Ukiangalia, vyuo vlivyoundwa kutoa wataalamu wa aina hiyo karibu vyote vimebadilishwa ili kuanza kutoa degrees. Sababu kubwa ni serikali kushindwa kuvi-support, so the only options kwa vyuo ni ku-offer course zinazovutia wengi. Serikali ina lawama ya kubeba hapa.
Kwenye elimu kuna mambo mengi sana hayaendi sawa
Kwa kigezo cha angalau asilimia 50 ya walimu katika kila chuko kikuu kimoja wawe na shahada ya uzamivu(Ph.D) nadhani tutabaki na UDM na SUA tu. The rest ukianza na Mzumbe vitafungwa tu hakuna namna
MMhh Halafu mnalalamika elimu iko chini..Hapo hakuna tatizo, ufaulu wake unamtosheleza kuwa level nyingine! Hata hivyo anakuwa chini ya head of faculty na yeye ana assist tu!
Unavijua vigezo vya mtu kuajiriwa kufundisha chuo kikuu? Hasa vyuo vikuu vya uma, vikiwemo SUA na MUHASLabda kv unajiita Analyst but you know nothing na ninachokuambia ndio ukweli wenyewe otherwise, sema wewe why do you think SUA kuna PhD holders wengi sana kuliko MUHAS. Kama unataka kufahamu elimu yangu ni Form IV but am probably even much better than your cra'p paper degrees bila kujali unazo ngapi! Na kuonesha ukweli wa haya nisemayo, badala ya kutoa hiyo reasoning yako unayodhani ndio excellent reasoning, unaanza personal attack.... what a nonsense!