Kwa hiyo hoja ya 50% ya wahadhiri kuwa PhD Holders, basi SUA , UDSM na Nelson Mandela University ndiyo vyuo vikuu pekee vitakavyosalia.
Kweli tutumbue majibu nilifaulu kwa haki alafu anakuja mwingine hana sifa huwa naumiaHiki Nelson Mandela wahadhiri wa ngazi ya PhD ni zaidi ya 90%, vyuo vingine vinatakiwa viige kutoka huku. Hiki ni zaidi ya UDSM
Kisibao, ndio hao haoKwa uandishi huu, vifungwe tu. Master ndo nini?
Hiyo kuandika Master sifikirii kama nimekosea. itakuwa wewe na huyo mwenzako nyote mna matatizo.Kwa bahati mbaya sijisifu lakini kama kozi zote nilizoingia kuanzia degree ya kwanza, master na phd. mtu ambae ana elimu ndogo kunisomesha ni Asso Pro. na hawajanisomesha more than 20% ya kozi zote. Sasa wewe mwenzangu sijui vp?Kisibao, ndio hao hao
Ngumu sana kwa Muhimbili kufika 50% kutokana na aina ya msuli wa pale na hawana sababu za kuhangaika kutafuta PhD! Hivi umeshawahi kujiuliza; after being tortured with medicine for 5 years... hivi unaweza kuwa na hamu kweli ya kuendelea? Lakini kubwa kuliko yote; watu wa Muhimbili hawana sababu ya kujitesa! Chukulia SUA kwa mfano... unajua pale PhD Holders ni wengi kupita kiasi; and you know why?Zamani unakuta mtu anamaliza bachelor yake... sasa ili kukwepa kuajiriwa kama bwana shamba na kutupwa wilayani (zamani hadi wilayani watu hawataki); unakuta mtu ana-fight kutafuta scholarship ya kwenda nje! Sasa donors wengi waliamini kv ni chuo cha kilimo, kwahiyo ku-sponsor wanafunzi wa kilimo unakuwa unasaidia hii nchi maskini! Sasa kutokana na hivyo, wengi wakapata bahati ya scholarship za masters hususani kupitia Commonwealth scholarships, Sasa kama unavyowajua wabongo; hata ukimpeleka nje kwenda kusoma diploma, atataka aunganishie hadi PhD... kwahiyo wengi ambao walienda kwa masters, hawakurudi wakaunganisha na PhD kabisa! Wanaporudi na PhD, wakajikuta hawaajariki sokoni na wakawa hawana option nyingine bali kurudi chuoni kufundisha! Sasa situation kama hii, kwa Muhi2 haikuwepo! Ukimaliza kitu kama medicine, unatupwa moja kwa moja hospitali ya rufaa ambayo ni mjini na ukikaa mwaka mmoja tu; hamu ya kurudi chuo huwezi kuwa nayo tena!Hata Muhimbili university hawajafikisha 50%?
Ha ha haKwa uandishi huu, vifungwe tu. Master ndo nini?
Ngumu sana kwa Muhimbili kufika 50% kutokana na aina ya msuli wa pale na hawana sababu za kuhangaika kutafuta PhD! Hivi umeshawahi kujiuliza; after being tortured with medicine for 5 years... hivi unaweza kuwa na hamu kweli ya kuendelea? Lakini kubwa kuliko yote; watu wa Muhimbili hawana sababu ya kujitesa! Chukulia SUA kwa mfano... unajua pale PhD Holders ni wengi kupita kiasi; and you know why?Zamani unakuta mtu anamaliza bachelor yake... sasa ili kukwepa kuajiriwa kama bwana shamba na kutupwa wilayani (zamani hadi wilayani watu hawataki); unakuta mtu ana-fight kutafuta scholarship ya kwenda nje! Sasa donors wengi waliamini kv ni chuo cha kilimo, kwahiyo ku-sponsor wanafunzi wa kilimo unakuwa unasaidia hii nchi maskini! Sasa kutokana na hivyo, wengi wakapata bahati ya scholarship za masters hususani kupitia Commonwealth scholarships, Sasa kama unavyowajua wabongo; hata ukimpeleka nje kwenda kusoma diploma, atataka aunganishie hadi PhD... kwahiyo wengi ambao walienda kwa masters, hawakurudi wakaunganisha na PhD kabisa! Wanaporudi na PhD, wakajikuta hawaajariki sokoni na wakawa hawana option nyingine bali kurudi chuoni kufundisha! Sasa situation kama hii, kwa Muhi2 haikuwepo! Ukimaliza kitu kama medicine, unatupwa moja kwa moja hospitali ya rufaa ambayo ni mjini na ukikaa mwaka mmoja tu; hamu ya kurudi chuo huwezi kuwa nayo tena!
Na unafikiri tutajiridhisha vipi kuwa huyu mwalimu anakijua anachokifundisha??Nafikiri waziri amekosea. Sifa ya mwalimu ni kujua anachokifundisha it does not matter ana level ipi ya elimu
Ni kweli kabisa ndugu, mtu mwenye degree moja kufundisha mwanafunzi wa degree ni jangaMawazo ya Prof. Ndalichako ni muafaka kabisa. Lazima kukuza elimu kwa idadi na ubora (quantity and quality ).
Tusiogope kuchukua maamuzi magumu kuinusuru nchi kielimu. Hatuwezi kuvumilia UPE ngazi ya vyuo. Tutaizika nchi yetu kielimu!
I am sure a "Master" degree is non existent! BUT Master of Science, Master of Divinity does exist, for example! One has a Masters degree in Chemistry, etc. I stand correction anyawayHiyo kuandika Master sifikirii kama nimekosea. itakuwa wewe na huyo mwenzako nyote mna matatizo.Kwa bahati mbaya sijisifu lakini kama kozi zote nilizoingia kuanzia degree ya kwanza, master na phd. mtu ambae ana elimu ndogo kunisomesha ni Asso Pro. na hawajanisomesha more than 20% ya kozi zote. Sasa wewe mwenzangu sijui vp?
Kwa kigezo cha angalau asilimia 50 ya walimu katika kila chuko kikuu kimoja wawe na shahada ya uzamivu(Ph.D) nadhani tutabaki na UDM na SUA tu. The rest ukianza na Mzumbe vitafungwa tu hakuna namna
I am sure a "Master" degree is non existent! BUT Master of Science, Master of Divinity does exist, for example! One has a Masters degree in Chemistry, etc. I stand correction anyaw
Hahahahaha na wewe basi hakuna masters degree bali kuna Master's degree. wacha ujuaji nilipoandika Master watu wote wanafamu nimekusudia nini
Hahahahaha na wewe basi hakuna masters degree bali kuna Master's degree. wacha ujuaji nilipoandika Master watu wote wanafamu nimekusudia niniI am sure a "Master" degree is non existent! BUT Master of Science, Master of Divinity does exist, for example! One has a Masters degree in Chemistry, etc. I stand correction anyaway