Vyuo Vikuu DRC Bravo Kwenu

Sijawahi kuona professor wa kikongo toka nimezaliwa, nawaona wanenguaji tu! Na wanaojichubua.

Hata mimi nilikuwa na mawazo hayo hayo! Baadae kabisa ndio ndio nilikuja kumbana na baadhi ya wakongomani ambao ni wakali sana katika masuala ya sayansi na technolojia-kun mmoja niliwahi kufany na kaz kw muda alikuwa ameajiliwa Umoja wa Mataifa (UNCTAD)huko Geneva Uswiss jamaa huyo alikuwa anategemewa sana ku-code programs za kutrack meli na rollingstock za makampuni mengi Duniani, tangu wakati huo niliacha kasumba ya kufikili wakongomani wote ni watu wa starehe tu! Chuo kikuu cha Dar kiliwahi kuwa na Profesa Wamba dia Wamba ambaye ni Mkongo, Kofi Olomide ana degree ya hesabu au uchumi kama sikosei-kwa hiy Cong wasom wapo
 
mtoa mada hujitambui, nenda kawadanganye wajinga wezako, nahisi unachokiongea hujui, ivi tangu lini wahitim wadefend mbele ya umati? je sherehe zao hufanyika siku ngapi? kwa uzoefu wa chuo ninachosoma mm hapa tz watu hawafi hata kumi ila wanatumia siku nzima kudefend report zao. huo mfumo haupo duniani labda kama ulikuwa unaota ndoto.
 
Kama Ni kweli mbona hatuwaoni kwenye kazi ma ofisin huku kwenye jumuiya ya Africa mashariki sanasana tunawaona bize kusuka dada zetu na kusafisha Kucha. nataka kuanzisha saluni kama vp niku PM unisaidie kutafuta wanaume wa 3, waje kusuka wateja hapa

wewe kumbe uko usingizini,, wao hawako east africa,, ila ukienda sentral africa republic wako kule na jeshi lao limesaidia sana kule.... kwani mimi kaka yako unajua nafanya nini huku.... ukitoka kwa wazazi wako unafanya chochote... nitakutumia picha za miji ya congo then ulinbganishe na tz...... hao unaowaona mwenge ni dot kwa population ya watu mil70
 
Sijawahi kuona professor wa kikongo toka nimezaliwa, nawaona wanenguaji tu! Na wanaojichubua.

acha kudhihirisha ujinga wako JF inasomwa na watu wengi... walio soma Mlimani wanamkumbuka Prof wamba dia wamba,, ni mkongo na amefundisha Mlimani
 
uwezo wako umeishia hapo kufukiri
 


hapo ni gombe kinshasa kamera yangu imechukua picha hii nikiwa ndani ya gari... barabara za kinshasa nzuri hasa ila huku mikoani hali mbaya...kwa aliefika miji kama bukavu na goma anikanushe hapa ma engineer wa ujenzi wko vizuri sana jamaa nyumba zao nzuri sana .... kwa tanzania sijaona art kama ya hapa,,, wacha hizo za vio za wachina hapa wacongo wenyewe wanajenga hizi nyumba
 

Maada ni vyuo vikuu wewe unaleta mambo ya mabarabara.Barabara hizo zinajengwa na wachina kwa Mikataba ya wao kujichukulia madini na pembe za ndovu.
 
walio soma Mlimani wanamkumbuka Prof wamba dia wamba,, ni mkongo na amefundisha Mlimani

Ni kweli alikuwa chuo kikuu cha Dar es salaam.Kongo wenyewe wanamwona kama profressor uchwara ni War lord.Ana kikosi cha waasi wenye silaha kongo.
 

Hata tz tuna Phd holder wenye vyeti vya kununua na kufoji. Usipumbazike kwa matitle ya madegree....vyuo vingi vya congo vinajiita universities lakini ukafika congo ukaviona utalia....ni kama vya modern commercial institute, green college, amazon college, hillmark institute vilivyo chini ya veta. Congo hakuna kitu....usidanganyika kwa kifaransa na kilingara kwao hizo ni mother tongue.

Shule za maana congo ni seminari tu za mapadre.
 
Mtoa uzi utakua umeoa graduate wa moja ya vyuo vya Kinshasa ndo maana unaweweseka na kuanza kutokwa povu!
 

Karibu Galerie Presidentielle....barabara hizi zilijengwa na Mzee kabila. Lakini mada ni vyuo.....hapa kinshasa hakuna kitu kwa vyuo usidanganye watu
 

Ni kweli mkuu.

Wakongo (Kinshasa na Brazaville) wengi wamesomea kwenye nchi zinazofundisha kwa kutumia lugha ya Kifaransa na baadae hufanya kazi nchi hizohizo. Kuna intellectuals (including Professors) wengi sana kutoka Congo. Watu wanamfahamu sana Prof. Wamba. Yeye alisomea Marekani (ndiko alikokutana na yule mke wake African-American) na ndio akaja Tanzania kufundisha. Pia, kutokana na taaluma yake ya history/political science na ule ula-moto wake, Mobutu angemchinja kama angekwenda Zaire.

Unajua, pengine waKongo nao wanasema kuwa "hakuna intellectuals/professors wa kiTanzania" zaidi ya Nyerere.
 

Hahah jeshi la kongo limesaidia central Africa? How? Hio nchi ina jeshi au ina vikampuni vya ulinzi kama ilivo ULTIMATE SECURITY wa huku bongo, hahah
 
Mbali na Prof. wa Historia WAMBA DIA WAMBA sijawahi kumsikia Mkongo msomi zaidi. hata kwenye mikutano ya kimataifa ni ngumu kuwasikia/kuwaona
 
Mbali na Prof. wa Historia WAMBA DIA WAMBA sijawahi kumsikia Mkongo msomi zaidi. hata kwenye mikutano ya kimataifa ni ngumu kuwasikia/kuwaona

basi hata kofi olomide hujawahi kumsikia...ana masters ya uchumi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…