Unajua sababu?
Kwanza mpango wa serikali ya Magufuli ni kuhakikisha mashirika yote ya Binafsi yanakufa,
Pili Vyuo vyenyewe hazikuboresha mazingira wakajisahau, sasa njia ili vyuo vife ni kuwaacha wanafunzi wachague wanapotaka siyo kupangiwa na TCU hivo vimekosa wanafunzi maana wakuu wa vyuo walikuwa wanahonga kupata wanafunzi.