mkuu wameaandaa ndio nini?Unaweza kudhania hiyo orodha wameaandaa wale wachina wa kuiga ubunifu wa bidhaa.
Adidas eanaandika Adidos
Hapo kuna Kennyata na Kenyata University.
Angalia namba 5 & 10.
Typo errormkuu wameaandaa ndio nini?
eanaandika ndio kitu gani hiki?
kwa hiyo akinya bata ni tatizo ukinya wewe si tatizo si ndioTypo error
Tuna zidiwa mpaka na Sudan? hii ni matokeo ya kuendekeza siasa mpaka kwenye taalumaVifuatavyo ni vyuo vikuu bora Africa Mashariki 2026:
1. Chuo kikuu Addis Ababa ( Ethiopia)
2.Chuo kikuu Makerere(Uganda)
3.Chuo kikuu Nairobi( Kenya)
4.Chuo kikuu cha Khartoom ( Sudan)
5. Kenyatta University( Kenya)
6. Strathmore University( Kenya)
7. Chuo kikuu cha UDSM( Tanzania)
8. Chuo kikuu kilimo&Tech Jomo Kenyata( Kenya)
9. Chuo Kikuu Rwanda( Rwanda)
10. Kenyatta University (Kenya)
CHANZO; Vyuo 10 bora Afrika Mashariki 2026 - BBC News Swahili
Je Chuo kikuu cha MUHAS kimeshuka hadhi???
Kwa hivyo unafikiri hao wamekosea Kama mimi?kwa hiyo kunya bata anye ukinya wewe ni tatizo si ndio
List ya uongo hiyo mgerasiKenya wameupiga mwingi cc ChoiceVariable
Kichwa cha habari Afrika, content umeweka Afrika Mashariki.Vifuatavyo ni vyuo vikuu bora Africa Mashariki 2026:
1. Chuo kikuu Addis Ababa ( Ethiopia)
2.Chuo kikuu Makerere(Uganda)
3.Chuo kikuu Nairobi( Kenya)
4.Chuo kikuu cha Khartoom ( Sudan)
5. Kenyatta University( Kenya)
6. Strathmore University( Kenya)
7. Chuo kikuu cha UDSM( Tanzania)
8. Chuo kikuu kilimo&Tech Jomo Kenyata( Kenya)
9. Chuo Kikuu Rwanda( Rwanda)
10. Kenyatta University (Kenya)
CHANZO; Vyuo 10 bora Afrika Mashariki 2026 - BBC News Swahili
Je Chuo kikuu cha MUHAS kimeshuka hadhi???