Vyuo bora vya Pharmacy Tanzania

Vyuo bora vya Pharmacy Tanzania

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,289
Reaction score
5,741
Kama una mpango wa kuomba kusoma pharmacy,omba vyuo vifuatavyo:
1. Muhimbili ( Muhas)
2. Bugando ( Cuhas) cha wakatoliki
3. Bugando ( Mwachas) cha
serikali
4. KSP kipo KCMC Moshi
5. Udom
6. Mtwara Cohas
7. Tabora Cohas
Vyuo vingine go at your own risk!
Utahangaika sana hasa utakapokuja kufanya mitihani ya leseni.Watu wengi wapo mtaani hawana leseni ingawa wamesoma diploma ya pharmacy.
Ukikosa hivyo vyuo ni bora usome kozi nyingine ya afya ama uende VETA utanikumbuka baadae.
Vyuo vingi vya pharmacy vimejaa ubabaishaji na ni miradi ya watu kupiga hela za wajinga ukiwepo wewe unayeomba kusoma chuo kwa sababu kimetangazwa mtandaoni.

Kwa hivyo vyuo hapo hutaona tangazo lao wakijitangaza mtandaoni.Kizuri chajiuza.
 
Kama muhitim wa Mtwara COHAS am proud 👏
 
Duh!! Afadhari umenisanua maana kuna dogo nataka nimpeleke maana amepangiwa kozi ya BUSINESS ADMINISTRATION nataka nimuamishe kwenye pharmacy

Wakati mwingine zinakuwa stori za Vijiweni tu kama wale wanaoshindana chuo flani bora kuliko kingine wakati unapohudumiwa kwenye maofisi walipo huoni tofauti ya quality.

Ongea na Watumishi wachache wa hospitali sehemu tofauti tofauti. Utakutana na pharmast wa waliohitimu Udom, Decca, Muhimbili, St. John, Bugando nk
 
Duh!! Afadhari umenisanua maana kuna dogo nataka nimpeleke maana amepangiwa kozi ya BUSINESS ADMINISTRATION nataka nimuamishe kwenye pharmacy
Akaze matarko haswaa, Pharmacy ukiwa laini itamtesa sana kwa aafya nafikiri ndio kozi inatesa sana wanafunzi sio Diploma wala Degree
 
Kama una mpango wa kuomba kusoma pharmacy,omba vyuo vifuatavyo:
1. Muhimbili ( Muhas)
2. Bugando ( Cuhas) cha wakatoliki
3. Bugando ( Mwachas) cha
serikali
4. KSP kipo KCMC Moshi
5. Udom
6. Mtwara Cohas
7. Tabora Cohas
Vyuo vingine go at your own risk!
Utahangaika sana hasa utakapokuja kufanya mitihani ya leseni.Watu wengi wapo mtaani hawana leseni ingawa wamesoma diploma ya pharmacy.
Ukikosa hivyo vyuo ni bora usome kozi nyingine ya afya ama uende VETA utanikumbuka baadae.
Vyuo vingi vya pharmacy vimejaa ubabaishaji na ni miradi ya watu kupiga hela za wajinga ukiwepo wewe unayeomba kusoma chuo kwa sababu kimetangazwa mtandaoni.

Kwa hivyo vyuo hapo hutaona tangazo lao wakijitangaza mtandaoni.Kizuri chajiuza.
Hizi ni story tu zisizo na ukweli wowote wifi ako alisoma Tandabui na akapass Leseni kwa First Sitting only
 
Kama una mpango wa kuomba kusoma pharmacy,omba vyuo vifuatavyo:
1. Muhimbili ( Muhas)
2. Bugando ( Cuhas) cha wakatoliki
3. Bugando ( Mwachas) cha
serikali
4. KSP kipo KCMC Moshi
5. Udom
6. Mtwara Cohas
7. Tabora Cohas
Vyuo vingine go at your own risk!
Utahangaika sana hasa utakapokuja kufanya mitihani ya leseni.Watu wengi wapo mtaani hawana leseni ingawa wamesoma diploma ya pharmacy.
Ukikosa hivyo vyuo ni bora usome kozi nyingine ya afya ama uende VETA utanikumbuka baadae.
Vyuo vingi vya pharmacy vimejaa ubabaishaji na ni miradi ya watu kupiga hela za wajinga ukiwepo wewe unayeomba kusoma chuo kwa sababu kimetangazwa mtandaoni.

Kwa hivyo vyuo hapo hutaona tangazo lao wakijitangaza mtandaoni.Kizuri chajiuza.
Vyuo vya serikaki kwa sasa vimebaki Jina tu, hakuna shule kama miaka ya nyuma.
Baadhi ya vyuo vinavyo fanya vizuri sana kwa ngazi ya certificate na diploma ni
1. KSP KILIMANJARO
2. RUCO IRINGA
3. SUNRISE SONGWE
4. LUGARAWA NJOMBE
Nina hakika hapo hutajuta
 
Kama una mpango wa kuomba kusoma pharmacy,omba vyuo vifuatavyo:
1. Muhimbili ( Muhas)
2. Bugando ( Cuhas) cha wakatoliki
3. Bugando ( Mwachas) cha
serikali
4. KSP kipo KCMC Moshi
5. Udom
6. Mtwara Cohas
7. Tabora Cohas
Vyuo vingine go at your own risk!
Utahangaika sana hasa utakapokuja kufanya mitihani ya leseni.Watu wengi wapo mtaani hawana leseni ingawa wamesoma diploma ya pharmacy.
Ukikosa hivyo vyuo ni bora usome kozi nyingine ya afya ama uende VETA utanikumbuka baadae.
Vyuo vingi vya pharmacy vimejaa ubabaishaji na ni miradi ya watu kupiga hela za wajinga ukiwepo wewe unayeomba kusoma chuo kwa sababu kimetangazwa mtandaoni.

Kwa hivyo vyuo hapo hutaona tangazo lao wakijitangaza mtandaoni.Kizuri chajiuza.
CUHAS ni namba 1
 
Unakiwekaje Tabora cohas wakati hata product haijatoa mtaani?
Kuna the best college kinaitwa MPANDA COHAS huwezi kuiacha kwa sasa
 
Kufaulu leseni sometimes ni maandalizi mazuri tu Wala chuo hakina nafasi sana mkuu.
 
Back
Top Bottom