Mkuu asante kwa hii Ila kumfananisha YESU na wanadamu ..wa kawaida sisawa YESU alishaandaliwa na MUNGU pamoja na hayo siunakumbuka akivyokuwa GESTEMANE akiomba ...pamoja na Ahadi ya MUNGU kwake bado aliomba kikombe kimuepuke hadi JASHO likawa DAMU....acha kabisa kitu inaitwa matesoWengi hapa mnaogopa sana kuteswa
Je mnaweza kuiilinda nchi yenu mbele ya maadui
Je unaweza kuiilinda familia yako ipone ili we ufe
Huu uzi nilitegemea niwaone wanawake tu wakilia km kawaida yao
But for men, huu ni utani
Bahat nzur wiki hii YESU KRISTO wiki hii anaenda kupita mateso makali pale msalabani
Hebu fikria kijana Yesu na umri wake chini ya miaka 35
Alisimamia kile anachokiamini na alifikia malengo
Leo hii Yesu ndiye mtu maarufu Zaid duniani pengine na kwingne tuskokujua
. Yesu angeamua kuingia mitin leo hii angewekwa kundi moja na Yuda msalit
Kupitia Yesu huwa napata ujasiri uliopitiliza, leo hii wazee kwa vijana wanalitaja jina la Yesu
Fikria tu Mandela Unafikiri alipitia mateso gani
That nigger Martin Luther pale USA unafkr hakujua madhara atakayoyapata for condemning civil rights
Tusitiane uoga, naamini humu weng ni vijana, sasa sisi tukiwa waoga watoto wetu tutawafundisha nini?
Nina rafik yangu wa kiisraeli kwenye Mtandao huwa ananipa Challenge hadi nachoka, and he is only 23
We live once, thamani yako sio kuogopa kufa,.... Thamani yako ni kuifanya dunia iwe sehemu nzuri ya kuish
Toa mchongo wako hata ukifa familia, nchi, dunia ikukumbuke hata ukifa chini ya watu wabaya
sasa kama anajua na haja usika..... i mean akushirikishwa wataka aongee nini kwa harakaa haraka..... muacheni bhnaaaa yeye sio taira kukaaa kimnyaaa
Moja ingetoshasasa kama anajua na haja usika..... i mean akushirikishwa wataka aongee nini kwa harakaa haraka..... muacheni bhnaaaa yeye sio taira kukaaa kimnyaaa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji115] [emoji115]Samahani wajameni natoka nje ya mada.. Hivi huyu baba mwenye nyumba anafuata dhehebu gani? maana namuona kwenye makanisa tofauti
Mh!!!Kulawitiwa Na Kurekodiwa,Kunyimwa Kulala(Lazma Uchanganyikiwe),Warerboard, Kufungwa Chumba Chenye Maji Mpaka Mdomoni. Worse Enough Kuna Ile Ya RECTAL Feeding,Unaingiziwa Chakula Njia Ya Haja Kubwa. Imagine Unaambiwa Ubong'oe Alafu Anakuja Mwanaume Na Bomba Kama La Sindano Amalichomeka Anasindilia Chakula Huko,Its Disgusting And Unhealthy Vyakula Vingi Vinagoma Katikati Na Kugeuka Uchafu Kuwa Bacteria. Kuna Kupewa Sumu,Kupewa Addictional Drugs Ambazo Wasipokupa Unakua Kichaa Utawaomba Wakupe Huku Ukisema Vyote Unavyopaswa Kusema Kama Teja.
Hawa Watu Jamani Sio Wa Kuomba Kukutana Nao,Dont Cross Paths With Them. Ni Wauwaji....
Wewe na post yako ukitekwa dakika 5 tu utabuma kishenzi tena utaeleza kilakitu hata usichoulizwa.Hakuna mateso magumu kama waliyopitia mama zetu kutubeba tumboni miezi tisa, haya mengine ni mambo za kawaida tu we utaogopaje kuteswa? Hivi kipengele cha uvumilivu nyie hakiwahusu? Afadhali ufe kuliko kuishi kama mtumwa. Yani mshana na story za kiganga zile bado waogopa kuteswa?
Pale Obay kuna hiki chumba, na central na Tmk na kule kwingineko halafu kuna mtu anaitwa ziraili, anaonekana usiku tu... Unaning'inizwa darini kwa mkono mmoja halafu kamba nyingine inafungwa mguuni halafu inavutwa mpaka kwenye pembe ya chumba...Wewe na post yako ukitekwa dakika 5 tu utabuma kishenzi tena utaeleza kilakitu hata usichoulizwa.
Hapa kinachoongelewa ni kupatiwa maumivu mubashara na siyo kifo.
Utalia na kuomba msamaha wa jambo usilolitenda na kuropoka siri zoooooote ili upewe tuzo la mapumziko ya dak.1.
By nature wanadamu tumeumbwa na woga, baada ya hili la Roma utakubaliana na mimi hakuna single ya kuisema serikali tena. Kwa hiyo wasanii tayari sasa waandishi na wengine vimbelembele watafuata, ni vibaya sana kwa ustawi wa taifa.Ukiwa ni mtu usiye na falsafa ni hatari sana katika ulimwengu wa kiroho, ni rahisi kuikosa ata mbingu sababu tu ya kukosa falsafa yako.
Kuikana nafsi yako kwa kuutetea uhai wako ni sawa na kumkana Mungu, chukua mfano wa Yesu Kristo na watakatifu wote duniani (kwa kanisa katoliki).
Ukisoma historia ya wafia dini, wengi walikuwa imara katika kulinda imani yao(falsafa) yao hadi kufa.
Kwangu binafsi mtu anayesema eti nitatishiwa kwa mateso nisiseme kitu kwangu ni uongo mkubwa sana, siwezi kufanya upuuzi lazima niseme kila kitu.
View attachment 494009chagizo lisilohitaji kuwaza sana : jiulize kwanini Nape alizuiwa kwa mtutu wa bastola asifanye press conference lakini Roma akakubaliwa? Hifadhi Jibu lako kwa matumizi ya baadae
Ushauri wa bure! Usijaribu kamwe kumdhihaki mtu aliyetekwa kisha kwa muujiza tuu akaachiwa huru na watekaji wake.... Mateka wengi hupotea moja na moja
Dhana za kuteka zina viasili vingi lakini vinavyojulikana sana ni
Kwa nia ya kupata kipato
Kwa nia yake kutimiziwa mambo fulani
Kutishwa
Kulazimishwa kusema jambo fulani
Visasi
Kuzibwa mdomo
Masilahi ya kisiasa View attachment 494010kati ya hivyo viasili hapo vibaya sana ni vile vya Kulazimishwa useme jambo fulani, visasi na mambo ya kisiasa,,, achana kabisa na huu mziki
Kule ndani kule (anapokaa chatu) kuna vyumba maalum vya mateso... Na kuna professional watesaji...hawa ni binadamu wasio na roho ya huruma... Hawa kiasili ni watu wenye roho ngumu na mbaya na huandaliwa na kupewa mafunzo maalum... Mafunzo ya kukutesa na kukuumiza ndani kwa ndani
Hawa ni watu wenye akili ya umeme wa phase moja, hawatafakari chochote, wao ni watu wa kupokea amri na kutekeleza... Basi... Wakiambiwa tesa wanatesa! Wakiambiwa chinja wala hawawazi mara mbili... Hawana fikra za familia yako ndugu zako nknk View attachment 494011 Usijifanye eti wewe hutaongea ama kubishana nao... Unajidanganya... Wana mbinu za kikatili hasa za kukufanya ulainike kabisa
Unaifahamu waterboard? Kuna mateso mabaya na ya kikatili huko.... Ukiona mtu karuhusiwa kufanya press conference lakini anababaika Sana na kujichanganya mno.... Usimlaumu, usimdhihaki kukutaka na makubwa View attachment 494012View attachment 494013View attachment 494014
wamekusikia
Hapana [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]