Vyumba vya mateso

Ni kweli hayajui ila katufungua macho vipofu wenzake,naogopa MTU akijamba kuanzia Leo ntakuwa nacheka tu na kumsifia sitakosoa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji111] [emoji111] [emoji817] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji111]
 
Mpaka ameshindwa kuchana mistari mchezo...mchizi ameomba poo ngoma isimame.....I know remember a polite advise from one of my seniors. ..usithubutu kucheza na dola
Moja ya watu waliokuwa wanawafanyia mateso makubwa watu wao alikuwwa ADOLF HITLER na BENNITO MUSSSOLIN. Na walikuwa pia vionozi wa dola zao. ILIPOFIKA Zamu yao,,Hitler aliamua kujiua. Mwisho wa siku wote tunakufa. Watesaji ni waoga wakubwa sana...............ukiweza kuwapata wao wanalia kama watoto.
 
Nakumbuka huyo dem alikuwa nchini Iraq, ni askari wa Marekani, ingekuwa mimi ndio hao mateka ningekuwa nishampiga dushe[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Imesimama kweli?
 
Nchi haina furaha. Tuko jirani zaidi na mateso, kutekwa na kuumizwa .
Neema_ furaha na amani vimegeuka bidhaa adimu .
MACHO YANACHEKA, MOYO UNALIA
Michelle usenge wa kumsema rais aliyeko madarakani. Hamuoni mnahatarisha usalama wa nchi?
 
Maisha yenyewe yamekuwa mate so tupu ni sawa kabisa kuwa na kwenye hicho chumba cha watesaji.. Imefikia mpaka mtu ukila chips kuku unaonekana kama unakula bata! Ukinywa vibia viwili unaonekana kama fisadi!!
 
Kumbe inawezekana roma hakutekwa.
kaaaaaaaaaz kwel kwel.
kama alitekwa basi kafumuliwa marinda haiwezekani aseme kateswa sana halafu jeraha la kujiuma tu mdomoni
 
Maisha yenyewe yamekuwa mate so tupu ni sawa kabisa kuwa na kwenye hicho chumba cha watesaji.. Imefikia mpaka mtu ukila chips kuku unaonekana kama unakula bata! Ukinywa vibia viwili unaonekana kama fisadi!!
[emoji3] [emoji3] [emoji144] [emoji144] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duuuh mpka mwili unasisimka lazima useme tyu
 
Ukweli kuhusu roma anaujua mwenyewe roms wengine tunapapasa papasa tu.

Japo hoja zingine ukitafakari zinajenga mantiki kichwani.

Sipendi kuihusisha na siasa ila nashauri tu tume huru iundwe ili kuchunguza zaid..

Mimi mwanakitongoji huwa najiridhisha na kile nilichoshudia na kufanyia uchunguzi.


Asante mshana jr
Tusilale tukitegemea uchunguzi wa akina upelelezi nao niwatu kama sisi.
 
[emoji115] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…