Vyumba 2 vya kuishi (self container) vinapangishwa Ukonga Sabasaba.

Khakha

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
2,982
1,009
Wadau amani kwenu! Vyumba viwili , chumba na sebule vinapangishwa. Chumba cha kulala kina choo/bafu ndani. Inapendeza zaidi kwa singles au couples wanaoanza maisha ya ndoa. Kodi in 150,000shs kwa mwezi. Mwenye uhitaji aniPM.
 
Back
Top Bottom