Vyoo vya kukaa vimenishinda

Hahahha, ndonga inatumbukia shimoni. Usipojua kulenga utasikia tubwiii, ujue ushaloana makalio.
 
undefinedkama unaogopa kurukiwa maji,na kwakweli kiafya haifai kama mko watumiaji zaidi ya mmoja,angalia namna ya ukaaji ili ukitumbukiza choo kisiende majini,kaa hadi mwisho ili kinyesi kitue kwanza kwenye kuta kisha flush
Hapo umenena mkuu leo ngoja nitumie hayo maalifa
 
Pole sana choo cha kukaa ni usafi tuu na choo cha kukaa ni kuzuri sana. Ina maana mpaka umri huo hujajua kwamba ile kitu ni starehe murua kabisa? ndio maana kwa wenzetu unakuta kuna gazeti pia. unakaa vizuri chukua gazeti anza kufungua page by page kwa raha zako....

Kingine kama unaona choo hakiko sawa maji yanakurukia tanguliza toilet pale ndio uanze shughuli yako.... kwa kukusaidia tuu uwe msafi ndio utaona uzuri wa hicho choo. maana uchafu ndio adui yake mkubwa............. Enjoy English type na sio Asian type ha ha ha ha ha ha nimeenda mie
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wasukuma bhn
 
Kipindi nasoma Udsm hostel zilikuwa na vyoo vya kukaa kwa kweli ikinipasa kutumia vyoo vya kanisani na msikitini kwa huu ujinga
Unawezaje mkuu kutumia vyoo vya msikitini na kanisani kwa wakati mmoja
 


Kwani kwenda huko vipi si kuna ratiba maalum kwa mtu ambaye mfumo wake wa kula uko sawa? Asubuhi ukiamka, na ndio unamaliza shida zako zooote kuswaki, kuoga ama ni ile fyekefyeke kama mtoto ambaye afya yake ni mgogoro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…