Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,637
Vyombo vya Usalama vinalinda Usalama wa mali na raia.
Usalama ukitoweka walinzi wa Usalama ndio wanalaumiwa.
Kama viongozi watatumia vyombo vya Usalama kuwakandamiza wananchi au kuwadhulumu wananchi haina maana kwamba Polisi wanaruhisiwe kuwaachia vibaka waibe .
Polisi hawana mamlaka juu ya utajiri utakaomilikiwa na viongozi.
Polisi wanadumisha Usalama na huo ndio wajibu wao.
Kama Usalama kwa mtu mwingine ni kutunika kwa Bank account yake,wa kumlaumu siyo Polisi. Na yeye Polisi lazima aendelee na kazi anayofanya siku zote.
Ukitazama Independence Struggle ya India,kwa mfano,utaona jinsi Wahindi matajiri walivyokuwa wanasubiri kwa hamu kuichukua nchi ili wafanye mambo yale yale Mwingereza alivyokuwa anawafanyia Wahindi.
Polisi hana sh. trilioni moja kwenye account yake.
Someone else has.
Kwa hiyo kazi ya Polisi isichukuliwe kuwa jambo lolote like zaidi ya kulinda Usalama.