Vyombo vya ulinzi mmewashindwa Panya Road?

Vyombo vya ulinzi mmewashindwa Panya Road?

Jamaa yetu juzi Goba Kwa Madawa wamevamiwa mtaa mzima wamepigwa vibaya. Wameporwa pesa simu na vingine vya thamani. Wamefanyiwa ukatili, hawajali mjamzito Wala mzee wanapiga vibaya. Hili kundi walikua kama 20-30 Kwa idadi halafu mijibaba.
Huko Goba hawana ulinzi shirikishi ?.....

Ni vyema migambo wa jiji watumike na serikali za mitaa kudhibiti hivi vikundi.
 
Wananchi ndo tatizo, polisi wakifanya kazi yao twawalaumu
WE naye kilaza. Kaz gani nzuri wamefanya wakalaumiwa? Kazi ya kwenda na bunduk kuvamia nightclub kusaka wadada poa ndio kazi unayoeleza hapa. Ficha ujinga. Kama sio askari wewe basi ni chawa wa askari unaishi kwa huruma hapo sebuleni kwa mume wa dada yk askari
 
Nadhani polisi walikuwa wameanza kuwadhibiti hao Panya Road kelele zikawa nyingi wakaacha. Wananchi wakishapata joto watawaachia polisi wafanye kazi yao.
 
The only thing ukipata Hela ni kuwa na bunduki ndani,hayo mambo ya kyminya umiliki wa vyuma madhara yake ni hivi
 
Back
Top Bottom