Vyombo vya ulinzi mmewashindwa Panya Road?

Halafu hilo eneo ninakumbuka halina Kituo cha Polisi.

Eneo lote la Goba Mpakani wanatumia Kituo cha Polisi Makabe ambacho kipo Kata ya Mbezi.

Kuna wakati kilikuwa kinajengwa Kituo cha Polisi Goba Mpakani na sijui kama kimeisha.

Ila ubinafsi wa watu wa Dar es Salaam kunawafanya wahuni kutamba bila sababu.

Mwanaume ni mlinzi wa familia. Inakuwaje unakosa panga ndani, huna rungu na huna mbinu za kupambana?

Haya inakuwaje mnashindwa kushirikiana kuwakabili hao wajinga?
Ni ambush .inakuwa hujajiandaa
 
Naona wamerudi Kwa Kasi Tena, wanapora, wanajeruhi, ni huzuni.

Jamaa yetu juzi Goba Kwa Madawa wamevamiwa mtaa mzima wamepigwa vibaya. Wameporwa pesa simu na vingine vya thamani. Wamefanyiwa ukatili, hawajali mjamzito Wala mzee wanapiga vibaya. Hili kundi walikua kama 20-30 Kwa idadi halafu mijibaba.

Kesho yake tena yani jana kundi jingine la wadogo wadogo wamevamia mtaa huko eneo linaitwa Kwa Mzungu, wamejeruhi, wamepora.

Wana silaha za jadi, marungu, mapanga, shoka, visu nk.

Wanavamia usiku wa manane, wanavunja milango watu wanaamriwa wavue nguo wanabaki Uchi huku wanapigwa vibaya.

Now haijulikani mtaa gani unafuatia
Yuko busy na makahaba, jre atawaelewa wa Goba?
 
Halafu hilo eneo ninakumbuka halina Kituo cha Polisi.

Eneo lote la Goba Mpakani wanatumia Kituo cha Polisi Makabe ambacho kipo Kata ya Mbezi.

Kuna wakati kilikuwa kinajengwa Kituo cha Polisi Goba Mpakani na sijui kama kimeisha.

Ila ubinafsi wa watu wa Dar es Salaam kunawafanya wahuni kutamba bila sababu.

Mwanaume ni mlinzi wa familia. Inakuwaje unakosa panga ndani, huna rungu na huna mbinu za kupambana?

Haya inakuwaje mnashindwa kushirikiana kuwakabili hao wajinga?
Kuna harambee sasa kujenga lituo polisi....wanapaua now......
 
Sasa mtaa wa mzungu bilashaka huo mtaa wanaishi wazungu na wazungu hawakosi miguu ya kuku ndani alaf wanakuja kutishiwa na silaha za jadi mko serious kweli huo mtaa au mmekosea kuiiita jina ilo isije ikawa ni mtaa wa waliojichubua alaf mnasema mtaa wa wazungu?
 
Naona wamerudi Kwa Kasi Tena, wanapora, wanajeruhi, ni huzuni.

Jamaa yetu juzi Goba Kwa Madawa wamevamiwa mtaa mzima wamepigwa vibaya. Wameporwa pesa simu na vingine vya thamani. Wamefanyiwa ukatili, hawajali mjamzito Wala mzee wanapiga vibaya. Hili kundi walikua kama 20-30 Kwa idadi halafu mijibaba.

Kesho yake tena yani jana kundi jingine la wadogo wadogo wamevamia mtaa huko eneo linaitwa Kwa Mzungu, wamejeruhi, wamepora.

Wana silaha za jadi, marungu, mapanga, shoka, visu nk.

Wanavamia usiku wa manane, wanavunja milango watu wanaamriwa wavue nguo wanabaki Uchi huku wanapigwa vibaya.

Now haijulikani mtaa gani unafuatia
Jichukulien sheria mikononi , maana mtamalizwa mkisubiri serikali. Viongozi wanapigania ugali wao 2025
 
Chukua panya road watatu waue wachome mshikaki
Wenzao wataona hawatarudi tena,
Hivi hapa Dar mna akili kweli yani mtaa mnavamia na vibaka watoto mnalilia police
Police wanatafuta Majambazi na magaidi sio panya road
Hivi mkivamiwa na kundi la tembo, simba au chui
Tumbafu kwenu wanaume wa Dar
 
Naona wamerudi Kwa Kasi Tena, wanapora, wanajeruhi, ni huzuni.

Jamaa yetu juzi Goba Kwa Madawa wamevamiwa mtaa mzima wamepigwa vibaya. Wameporwa pesa simu na vingine vya thamani. Wamefanyiwa ukatili, hawajali mjamzito Wala mzee wanapiga vibaya. Hili kundi walikua kama 20-30 Kwa idadi halafu mijibaba.

Kesho yake tena yani jana kundi jingine la wadogo wadogo wamevamia mtaa huko eneo linaitwa Kwa Mzungu, wamejeruhi, wamepora.

Wana silaha za jadi, marungu, mapanga, shoka, visu nk.

Wanavamia usiku wa manane, wanavunja milango watu wanaamriwa wavue nguo wanabaki Uchi huku wanapigwa vibaya.

Now haijulikani mtaa gani unafuatia
Wanaume mnashindwa kuji organize mkaacha usingizi wa masaa machache ili kuwatia adabu hao madogo? Polisi haiwezi kufika Kila mahali kwa muda mnaotaka nyinyi mambo mengine yapo ndani ya uwezo wenu
 
Naona wamerudi Kwa Kasi Tena, wanapora, wanajeruhi, ni huzuni.

Jamaa yetu juzi Goba Kwa Madawa wamevamiwa mtaa mzima wamepigwa vibaya. Wameporwa pesa simu na vingine vya thamani. Wamefanyiwa ukatili, hawajali mjamzito Wala mzee wanapiga vibaya. Hili kundi walikua kama 20-30 Kwa idadi halafu mijibaba.

Kesho yake tena yani jana kundi jingine la wadogo wadogo wamevamia mtaa huko eneo linaitwa Kwa Mzungu, wamejeruhi, wamepora.

Wana silaha za jadi, marungu, mapanga, shoka, visu nk.

Wanavamia usiku wa manane, wanavunja milango watu wanaamriwa wavue nguo wanabaki Uchi huku wanapigwa vibaya.

Now haijulikani mtaa gani unafuatia
Wenzako wapo bize kusaka malaya kila kona mpaka wanaua watu.

Hayo ya panya road wanaona siyo tatizo la kiusalama. Tatizo kubwa ni wale wanaojiuza miili yao.

Nchi ina vichaa wengi hii
 
Unawajua majina hao walioumizwa?
Kwa jina la familia ya mama mwafulani.familia ya Fulani.
Ni hivo.
Ni wale tunaofahamiana nao tu kama marafiki na ndugu.
Ila wahanga wengine hapo mtaani nao Wana wenzao wanaowafahamu
Nadhani umeelewa hapo
 
Back
Top Bottom