PAKASHUME JOHN
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 303
- 331
Ya Bia baridii na kamvua haka utamtoa nani kituoniDar es salaam tena...!!!
Sasa Polisi wanakula salary ya kazi gani?
Ya Bia baridii na kamvua haka utamtoa nani kituoniDar es salaam tena...!!!
Sasa Polisi wanakula salary ya kazi gani?
Hahaha! Kaka Mm Nipo Bahari Beach. Huko Oysterbay kwenye gated community nawaachia nyinyi wa kishuaMbona hawa Panya road hawavamii kwa kishua very affluent gated communities kama oysterbay kwa kina Smart911 na Mzee Kigogo?
Wanavamia tu uswahilini tu kwa wala urojo kina Ritz adriz na incharge
Mkuu hata huko bahari beach ni pa kishuaHahaha! Kaka Mm Nipo Bahari Beach. Huko Oysterbay kwenye gated community nawaachia nyinyi wa kishua
Solution za kijinga kwenye complex issues ndiyo njia ya kutatua matatizo kwa watu wajinga kama wewe.Kazi ilifanyika mkaketa lawama kwa polisi leo mnataka msaada tena kwa hao hao tena
Mkuu haya mambo hayahitaji short-cut. Trust me. 1000 digits kaandika vitu vya maana sana na amejaribu kwenda kwenye mzizi wa tatizo na siyo vinginevyo. Tukitaka kujikwamua ni lazima tukubali kusota na njia mojawapo ni kusoma na kuelewa mambo kwa mapana na marefu.licomment lirefu hivi ili iweje🚮
Wapi huko?Huku hatunaga masihara ndio maana haruna panya Road Road dar mmejazana watoto mayai ndio maana mnahangaishwa
we umeisoma na kuilewa? haieleweki anataka maanisha nini..mie sio mvivu kusomaMkuu haya mambo hayahitaji short-cut. Trust me. 1000 digits kaandika vitu vya maana sana na amejaribu kwenda kwenye mzizi wa tatizo na siyo vinginevyo. Tukitaka kujikwamua ni lazima tukubali kusota na njia mojawapo ni kusoma na kuelewa mambo kwa mapana na marefu.
Sie kwetu kuna sungusungu na watu wengi wana miguu ya kuku. Siku moja walijaribu kuvamia kwenye nyumba moja , kipenga kikalia. Walipigika ,wakawataja na wenzao ambao wako kundi moja. Mpaka leo sijasikia kibaka au panda Road. Ukija usiku kama mgeni hukatishi mitaa yetu. Huku gari hata ikilia alarm sungusungu hao. Wana mitochi ina mwanga balaa.Kuna jamaa yang aliwaacha waingie uwani kabisa akiwa anawaona kwenye camera kakaaa kimya walivyoingia watano 5 aliwalamba ote risasi alafu kimya asubuh polis wakafata mizoga yao.
Wawili walilambwa za miguu wengine kiunoni walobakia hai sjui kama wako mpaka leo.
Hao mkiamua kuwashughulikia ni kitendo cha masaa tu mtandao ote unamalizwa sababu wanajulikana na wanapokaa panajulikana.
Upumbavu wa mkoa huu ni kwamba kila mtu anajifanya ana maisha yake ya wengine hayamuhusu mpaka yamkute ndo mtu anaweza kuja kukugongea mlango
hii glock uliagiza nje au maduka ya humu ndani?Nilikua na Glock walikimbia baada ya kuona chuma waliweka ego pembeni wakatumia hekima