Hivi hamnaga number ile ya Police? Mtaa mzima unavamiwa haichukui dakika. Kwanini msiwapigie Simu Police?Naona wamerudi Kwa Kasi Tena, wanapora, wanajeruhi, ni huzuni.
Jamaa yetu juzi Goba Kwa Madawa wamevamiwa mtaa mzima wamepigwa vibaya. Wameporwa pesa simu na vingine vya thamani. Wamefanyiwa ukatili, hawajali mjamzito Wala mzee wanapiga vibaya. Hili kundi walikua kama 20-30 Kwa idadi halafu mijibaba.
Kesho yake tena yani jana kundi jingine la wadogo wadogo wamevamia mtaa huko eneo linaitwa Kwa Mzungu, wamejeruhi, wamepora.
Wana silaha za jadi, marungu, mapanga, shoka, visu nk.
Wanavamia usiku wa manane, wanavunja milango watu wanaamriwa wavue nguo wanabaki Uchi huku wanapigwa vibaya.
Now haijulikani mtaa gani unafuatia
Ndio maana Marekani waliweka first amendment kwenye katiba yao , kiufupi ni haki ya raia kumiliki bunduki kwa ulinzi binafsi .Nilikua na Glock walikimbia baada ya kuona chuma waliweka ego pembeni wakatumia hekima
Wazazi wao Wasije kulaumu baadae kama wakati uliopitaNaona wamerudi Kwa Kasi Tena, wanapora, wanajeruhi, ni huzuni.
Jamaa yetu juzi Goba Kwa Madawa wamevamiwa mtaa mzima wamepigwa vibaya. Wameporwa pesa simu na vingine vya thamani. Wamefanyiwa ukatili, hawajali mjamzito Wala mzee wanapiga vibaya. Hili kundi walikua kama 20-30 Kwa idadi halafu mijibaba.
Kesho yake tena yani jana kundi jingine la wadogo wadogo wamevamia mtaa huko eneo linaitwa Kwa Mzungu, wamejeruhi, wamepora.
Wana silaha za jadi, marungu, mapanga, shoka, visu nk.
Wanavamia usiku wa manane, wanavunja milango watu wanaamriwa wavue nguo wanabaki Uchi huku wanapigwa vibaya.
Now haijulikani mtaa gani unafuatia
kwani raia hawaruhusiwi kumiliki silaha?Hamna cha operation ,hizo zuga tu na maigizo kupata political mileage na wala tatizo haliishi .
Watu raia wema wafanyiwe background checks , waruhusiwe kumiliki bastola na bunduki kwa ajili ya self defense ,pia ulinzi shirikishi ,hii programu iwezeswe ipasavyo ,mfano patrol za sungusungu usiku ,
Halafu ni vidogooWakishikwa watu wa haki za binadamu watakuja juu..
Hao ni kupiga chuma ,weka kweny kiroba maneno coco beach ..
Hao jamaa wamelanduka yaani bangi kabisa full roho mbaya.
Gharama zikoje?Vibali vitolewe watu wamiliki kitu ya bunduki , hii ya kutegemea majambazi waliovaa nguo za polisi wawe walinzi wa amani mtaani ,wakati wao wenyewe ni vibaka na majambazi kama hao panya road ni uzoba
Kila mtu akiwa na mtutu ,heshima itakuwepo .
Huu upumbavu utaisha , ukivamia kwangu nakumwaga ubongo tu
Wala hakuna haja ya kupeleka coco beach.unawaacha hapo unawapigia police waje kuchukua mzigo waoWakishikwa watu wa haki za binadamu watakuja juu..
Hao ni kupiga chuma ,weka kweny kiroba maneno coco beach ..
Hao jamaa wamelanduka yaani bangi kabisa full roho mbaya.
Wanafika masaa mawipi baadae.au asubuhi kabisaH
Hivi hamnaga number ile ya Police? Mtaa mzima unavamiwa haichukui dakika. Kwanini msiwapigie Simu Police?
[emoji4][emoji4][emoji4] aiseeunajenga nyumba ya M50 ,unashindwa kumiliki bastola, huo ni uzembe
Ujanja nunua chainsaw ukisikia wamekuja 20 liwashe wafate uone kama atabaki mtu. Bartoli lawama vibali mingi😅😅Naona wamerudi Kwa Kasi Tena, wanapora, wanajeruhi, ni huzuni.
Jamaa yetu juzi Goba Kwa Madawa wamevamiwa mtaa mzima wamepigwa vibaya. Wameporwa pesa simu na vingine vya thamani. Wamefanyiwa ukatili, hawajali mjamzito Wala mzee wanapiga vibaya. Hili kundi walikua kama 20-30 Kwa idadi halafu mijibaba.
Kesho yake tena yani jana kundi jingine la wadogo wadogo wamevamia mtaa huko eneo linaitwa Kwa Mzungu, wamejeruhi, wamepora.
Wana silaha za jadi, marungu, mapanga, shoka, visu nk.
Wanavamia usiku wa manane, wanavunja milango watu wanaamriwa wavue nguo wanabaki Uchi huku wanapigwa vibaya.
Now haijulikani mtaa gani unafuatia
Dawa yao ni CHAINSAW tu. Unakmbiza panya wote hata wawe50 mamaee Mshana Jr[emoji4][emoji4][emoji4] aisee
na kweli halieleweki kbsMi sijasoma yote maana nimeona sielewi
Halafu wakupokonye kibao kigeuke [emoji1787][emoji1787]Ujanja nunua chainsaw ukisikia wamekuja 20 liwashe wafate uone kama atabaki mtu. Bartoli lawama vibali mingi[emoji28][emoji28]
Nitaacha historia kama tulivyowakomesha babu zao wakujiita KIBOKO MSHELI na KOMANDOO miaka ya 88 hadi 90+ mitaa ya kinondoni na kigogoHalafu wakupokonye kibao kigeuke [emoji1787][emoji1787]