hata mi naona.Wafute vyombo vyote tu kama walivyotuzuia kufuatilia bunge japo kwa redio ili tufanye kazi.
hahahavipindi vya namna ya dinna Marius vitaongezeka sana.
redio zetu zotaongea upuuzi na umbea wa mtaani tu.
Na jana iliripotiwa Julius Mtatilo atakuwa Azam TV kuelezea hali ya mambo CUF, cha ajabu hakuna gazeti lolote lenye habari hii!Nimesiangalia taarifa ya habari jana Channel Ten na ITV sijaona habari inayozungumzia kufungiwa kwa radio station zilizofungiwa jana. Nikajiuliza sana ata Channel ten ambayo Magic Fm ni radio yao?. Kweli tumeshaanza kunyooka.