Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,573
- 16,360
View attachment 390234Bora unyamaze ndugu maana chochote utakachosema tofauti na kinachompendeza mkuu ni uchochezi.
naomba hii kitu muielewe vema.
View attachment 390234Bora unyamaze ndugu maana chochote utakachosema tofauti na kinachompendeza mkuu ni uchochezi.
Unajitwika uccm ili iweje. Umewahi kupitia michango yako ya awali hapa JF? Utaumbuka hivi hivi....Wote tunayo kumbukumbu kuwa salamu ya chama chetu cha mapinduzi ilikuwa hivi:-....
.
Hiyo nimetumia "Lugha wakilishi"Unajitwika uccm ili iweje. Umewahi kupitia michango yako ya awali hapa JF? Utaumbuka hivi hivi.
kwa sasa hivi bora wao,mi nimefanya reseach fupi kama wiki hivi nilichogundua bora star tv,yaani itv wamebaki na story za wakulima na wafugaji tu.Star tv hapana, hapana kabisa,... HAWA jamaa c ndo waliahidiwa na mkulu huyo huyo kwamba atawakumbuka atakapoingia mjengoni, baada ya kumfanyia kazi Kubwa ya kampeni.... Sitaki hata kuiangalia hii station.
Si utujibu basi hutu tuswali mbona unatatarika mkuu???
Tuswali twenyewe tudogo uliye na akili kubwa ungeshatujibu fasta tumekuwa tugumu?
Usipojibu hako kaswali utalidhihirishia jukwaa kuwa kaswali ni kagumu na kamekushinda
Kinachotakiwa ni kujibu swali langu siyo kujibu post yangu.
Twende kazini
kwa sasa hivi bora wao,mi nimefanya reseach fupi kama wiki hivi nilichogundua bora star tv,yaani itv wamebaki na story za wakulima na wafugaji tu.
We punguani ukileta taarifa za kuchinjana wakulima na wafugaji ndo unaupaisha uchumi wa tanzania?kwanza nikueleweshe tu kuna mambo kama nchi hatutakiwi kuyaweka hadharani hovyo ni kuyamaliza kimyakimya,mengine yanaibua machafuko,kila siku wakulima wameuana na wafugaji ndo habari kuu eti,angalia nchi jirani vita imetokana na hayohayo mavitu kuyaexpose hovyo.Huyu nae kwake stori za wakulima na wafugaji hazina maana kwani mahindi analimia jf na nyama anapata hukuhuku jf.Ama kweli Akili ni nywele............
Hili jambo nimelifanyia utafiti almost siku tatu zilizopita, nimegundua kua vyombo vyetu pendwa vimepata homa ya dengue baada ya kutishwa na wenye mamlaka sio magazeti, redio wala TV station kote wameufyata.
Nchi nyingine saa hizi tayari wanahabari wangekua road ila kutokana na kutokua na ushirikiano ndo tunaona haya yote,sasa hivi kila chombo kinahimizwa kimsifu mkulu, hatari sana hii.
Niwashauri kwa sasa ili kupata habari za maana bora Star TV au Azam na kwa redio bora Efm.
tehtehte mkuu asubuhi wanakua bomba sana hawaMkuu Efm wanapiga singeri muda wote....na mm sio shabiki na type hiyo ya muziki.
Nimesiangalia taarifa ya habari jana Channel Ten na ITV sijaona habari inayozungumzia kufungiwa kwa radio station zilizofungiwa jana. Nikajiuliza sana ata Channel ten ambayo Magic Fm ni radio yao?. Kweli tumeshaanza kunyooka.
tehtehte mkuu asubuhi wanakua bomba sana hawa
We punguani ukileta taarifa za kuchinjana wakulima na wafugaji ndo unaupaisha uchumi wa tanzania?kwanza nikueleweshe tu kuna mambo kama nchi hatutakiwi kuyaweka hadharani hovyo ni kuyamaliza kimyakimya,mengine yanaibua machafuko,kila siku wakulima wameuana na wafugaji ndo habari kuu eti,angalia nchi jirani vita imetokana na hayohayo mavitu kuyaexpose hovyo.
Mtukufu Rais Dr. J. P Magufuli, Kwa kuwa wewe ndio mwenyekiti wangu nalazimika kukuuliza maswali ambayo naamini hutayachukia.
Wote tunayo kumbukumbu kuwa salamu ya chama chetu cha mapinduzi ilikuwa hivi:-
-Kidumu chama cha mapinduzi,
-Zidumu fikra za mwenyekiti wa ccm
-Idumu siasa ya ujamaa na kujitegemea.
Japo salamu hii bado inaonekana kuwa na ushawishi miongoni mwa wanachama na wananchi kwa ujumla, haikutolewa taarifa rasmi kwamba nini kilisababisha salamu hii pendwa kwa chama ikaacha kutumika.
Kwa kuwa umeshika hatamu za chama, ni vema sasa ukalitolea ufafanuzi jambo hili.
.....kwanini chama cha mapinduzi kisidumu!!!!
Hii "fikra ya mwenyekiti" imepoteza uhalali wa kudumu??? au hofu ya udikteta!!! Nani aliona mbali kiasi hicho.
Siasa ya ujamaa unaisemeaje, bado inatekelezeka? Kama ndio utaifanya itekelezekeje kwenye mfumo wa utitiri wa vyama!!!
Kama hutajali utupe mwongozo pia kuhusu siasa ya nchi yetu, kuna wakati fulani enzi za mwalimu ilikuwa haifungamani na upande wowote! je hali bado iko hivyo hivyo??
Najua maswali haya hutayajibia humu ukumbini, lakini najua utapewa microphone useme na hadhira siku yoyote popote ndani ya mipaka ya nchi yako, hapo hapo chomekea majibu ya maswali haya.
Kwa sasa sisi tunaendelea kuyajadili maswali haya na makada watiifu wa chama ndani ya JF watatetea hoja.