Vyombo vya habari vya magharibi na Tanzania! Video

Vyombo vya habari vya magharibi na Tanzania! Video

Shomari

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,112
Reaction score
242
Nilidhani haya mauaji ya albino yameshakoma kwani ni kipindi kirefu sana sijasikia habari za albino kuuwawa Tanzania, sasa pamoja na yote hayo kituo cha television cha ufaransa France 24, ndani ya mwezi huu kimerusha ripoti ya mauaji ya albino huku wakiliponda kwa hali na mali jina la Tanzania pamoja na kanda ya ziwa. je waungwana haya mambo bado yanatokea ama ni kukosa upeo kwa mwandaaji wa ripoti hii?. nilidhani ripoti huendana na wakati halisi wa tukio. tazameni wenyewe hapo chini.

 
Last edited by a moderator:
Labda walikuwa wanafanya investigative journalism na sasa wamemaliza na kutoa ripoti, sasa kosa lao hapo litakuwa ni nini?
 
nadhani hukumsikiliza vizuri....hapo mwanzo tu ameseme "kwa miaka minne....." so inaonyesha ni ripoti flani juu ya hayo mauaji kwa kipindi hicho...na ndio maana pia ni mkusanyiko wa habari kutoka sehemu mbalimbali za tz.
 
I have seen it in some other channel too
 
Back
Top Bottom