Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Matatizo yote hayo yameletwa na CCM na siyo Dr ShikaPamoja na Hayo Mkuu, Wabongo tumezidi Sana,kaishu kadogo tu, yaani tunajadili Karne nzima, kila kukicha ni hicho hicho, Wakati kuna watu ktk jamii yetu wana matatizo lukuki, km vile Ukosefu wa maji, Umeme, Barabara, Huduma za Afya, Masoko kwa mazao ya kilimo, n. K. Sasa kwanini tupoteze muda kujadili ishu zisizo na faida?. Tubadilike.
Sio kwamba sizitaki, isipokuwa Wabongo tumezidi mno, yaani Kila siku ni Shika, mbona hatujadili juu ya Akina mama wanaokufa kutokana na kukosa huduma Bora za Afya?.Sasa nawe kwanini unaleta habari zake hapa kama hutaki?
Sasa si ndo tujadili kwa hoja,ili kuwasaidia hao CCM, wakisoma wataelewa na watarekebisha mambo yao.Matatizo yote hayo yameletwa na CCM na siyo Dr Shika
Anzisha mjadalaSio kwamba sizitaki, isipokuwa Wabongo tumezidi mno, yaani Kila siku ni Shika, mbona hatujadili juu ya Akina mama wanaokufa kutokana na kukosa huduma Bora za Afya?.
Ww ndio unamfikilia huyo mzee....nani ana muda naeYaani huyu jamaa, tokea ashindwe Kukamilisha malipo kwenye ule Mnada wa Nyumba za Lugumi, yaani sasa hivi kila kukicha ni Dr. Shika tu, Ukigeuka kushoto ni Shika,nenda kulia ni Shika, Angalia Kusini Ni Shika,nenda kaskazini ni Shika,. Mashariki, Magharibi ni Shika, looh!!, Tushachoka Fanyeni mambo mengine ya Msingi, mbona kuna Mambo mengi tu ya msingi na Sekondari!!, Kuna Changamoto nyingi Jamani ktk Jamii valieni njuga Hayo.
Poa nitaanzisha.Anzisha mjadala
kama kwenye avatar ndo ww, hebu njoo pm basSasa nawe kwanini unaleta habari zake hapa kama hutaki?
Hongera mkuuNi dalili ya jamii iliyokosa matumaini katika mambo ya msingi.
Inatafuta vitu vya kuji distract.
Mara Babu wa Kikombe. Mara Dr. Shika. Na huyu akipita kitatafutwa kingine cha kuji distract tu.
Jamii yetu imekuwa kama mhanga wa madawa ya kulevya, bila ya kupata dozi mhanga hajisikii kuwa sawa.
Yote hayo watu washajadili sana na hawaoni chochote kubadilika.Pamoja na Hayo Mkuu, Wabongo tumezidi Sana,kaishu kadogo tu, yaani tunajadili Karne nzima, kila kukicha ni hicho hicho, Wakati kuna watu ktk jamii yetu wana matatizo lukuki, km vile Ukosefu wa maji, Umeme, Barabara, Huduma za Afya, Masoko kwa mazao ya kilimo, n. K. Sasa kwanini tupoteze muda kujadili ishu zisizo na faida?. Tubadilike.