vyombo vya habari uchwara Tanzania!

boybsema

Senior Member
Oct 28, 2010
124
14
kama kawaida vyombo vya habari na vibaraka wa magamba wamezidi andamwa na mzimu wa chadema baada ya chanel ten kusema habari ya lema,mb kusema haiko tayari!lakini baadae wakaitoa...pipoz power
 
washenzi kweli hawa watu......wamesema juhudi mb wa arusha kutoka magereza zagonga mwamba. Lakini habari hii haipo tayari.....umeona ushenzi huuu eh!
 
washenzi kweli hawa watu......wamesema juhudi mb wa arusha kutoka magereza zagonga mwamba. Lakini habari hii haipo tayari.....umeona ushenzi huuu eh!

Hivi kweli kuna mtoto anayeweza mwambia baba yake mbona hujavaa nguo ya ndani tena ya chini!!!hiyo ndo serikali ya ****** na vyombo vya habari hapa nchini..
 
Back
Top Bottom