Vyombo vya habari radio na televisheni vinapataje faida na mapato wakati gharama za uendeshaji ni kubwa ??

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
369
Reaction score
1,252
Ningependa kujua radio na televisheni faida wanapataje wakati gharama za uendeshaji ni kubwa , kuanzia kulipa kodi, mishahara kwa wafanyakazi n.k..
Je faida inapatikana vipi katika hio biashara ?
 
Ningependa kujua radio na televisheni faida wanapataje wakati gharama za uendeshaji ni kubwa , kuanzia kulipa kodi, mishahara kwa wafanyakazi n.k..
Je faida inapatikana vipi katika hio biashara ?
Una financial statements za hivyo vyombo vya habari?
 
1. Matangazo
2. Events "Fiesta &muziki mnene"
3. Donor Funds kupitia projects "malkia wa nguvu, nyumba ni choo"
4. Digital platforms mfano YouTube

Hizi ndo za faster ila kiuhalisia.. Media nyingi zinapumulia mipira baada ya kuja social media
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…