Zanzibar 2020 Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

Lakini kwanini wa zanzibar wako tayari kwa lolote kuliko watu wa bara? Ukisikiliza Aljazeera na CNN unaweza akadhani uchaguzi uko zanzibar tu na wazanzibari ndo wanaochukia ukandamizaji wa CCM peke yao, kumbe Bara ni mara mbili yake ila tuko kimya sanaa
Wabara wengi tupo kimaslahi kila idara huku kuandamana hatuandamani mbaka tulipwe.
 
Angalia ulivo Zuzu..

Mkuu unafel wapi yani nikisema Ndugu yako shoga hata huelewi ivi unafatilia taarifa za Ndugu yako kweli Ebu search kwanza Apo YouTube( Lissu na hoja ya ushoga afu ndo utarud na majibu)

Unaulza ni mjuaji kivip ivi wew upo nchi gani...." Daah nimegundua nahangaika jitu Kubwa jinga aisew.

Ukisikia maendelea hayana chama unaelewaje Mwaka 1O ilopita nilimpigia lipumba kuura kwa sababu niliona uyo mzee anabusara sana Leo hii nipo kwa maguful .....na hiyo ndio tasfri ya neno Sina chama naaangali Vision ya kiongozi. Na utendaji kazi wake...""

Wake up meeny wats wrong with u" unaelimu gani kwanza au nyie ndo wale maticha feki mlotumbuliwa
Umemshambulia kwa maneno makali utadhani una akili kumbe bwege kabisa! Sasa umeandika nini hapo? Labda tuanzie na hilo.
Sio jambo zuri kuweka ujinga wako hadharani namba hii.
 
Hili si jambo la kufanyia mzaha kabisa

Ni muda sio mrefu tumepata taarifa juu ya mauaji ya watu watatu huko Pemba na Kikosi cha Polisi.

Na hivi sasa vyombo vya habari vya kimataifa vimeanza kuripoti juu ya tukio hili ambalo kwa vyovyote litatia doa nchi na kupelekea waangalizi wakubwa wa kimataifa kujiridhisha kua kuna uminywaji wa Demokrasia na haki za binadamu, watu wanataka madaraka kwa nguvu japo watu wameamua kupiga kura ya mabadiliko lakini inavyoelekea chama tawala hawawezi kukubali hilo.

Hii itoshe tu kusema kua habari zimeanza kusambaa dunia nzima.
Duniani kote wanajua uchaguzi wa Tanzania siyo huru na haki ni uchaguzi wa maigizo tu lakini Tume za uchaguzi zinawatangaza watu ambao siyo chaguo la wapiga kura.
 
Ndio salama yetu,
Kwasababu mbili kuu
1)Sisi kama Waafrika,hatujui tunachokitafuta hasa.

2)Hakuna Mtawala alieandaliwa kuwa Mzalendo wa kweli katika Nchi yake

Salama kwetu
Ni kukaa kimya na kuienzi amani tuliyokuwa nayo....hata kama Haki haipo
Tanzania hakuna Amani kuna uvumilivu tu Kitendo cha kuibiwa kura wanakaa kimya ni uvumilivu huo.
 
Hizo propaganda zenu zitashindwa...Watanzania wapenda Maendeleo watamchagua Magufuli.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM anatosha CCM kwa maendeleo ya Tanzania
Maendeleo yapi hayo? Mtanzania yupi anamchagua magufuli?
 
Hili si jambo la kufanyia mzaha kabisa

Ni muda sio mrefu tumepata taarifa juu ya mauaji ya watu watatu huko Pemba na Kikosi cha Polisi.

Na hivi sasa vyombo vya habari vya kimataifa vimeanza kuripoti juu ya tukio hili ambalo kwa vyovyote litatia doa nchi na kupelekea waangalizi wakubwa wa kimataifa kujiridhisha kua kuna uminywaji wa Demokrasia na haki za binadamu, watu wanataka madaraka kwa nguvu japo watu wameamua kupiga kura ya mabadiliko lakini inavyoelekea chama tawala hawawezi kukubali hilo.

Hii itoshe tu kusema kua habari zimeanza kusambaa dunia nzima.
Hivi Binadamu na akili yako unatoka nyumbani kwako kwenda mitaani kufanya fujo
 
Utakufa Bure ety kisa hutak ujinga "" ingia road kaandamane kesho cha Moto utakiona. acha uchama na uwe ufikirie logically"
Ndugu yangu,
Unajivunia SMG iliyonunuliwa kwa Kodi zetu wote?
Ndugu yangu,nenda MOi kaone vijana kwa wazee wa kike na wa kiume wasio na viungo kamili lakini walizaliwa wazima kabisa,Hawa hawakua Amana.
Hata wewe waweza kuwa mlemavu kwa kugongwa na bodaboda tu.
Pita makaburini uone makaburini ya watu waliokwisha kufa uone Kama wao walimkosea Mungu zaidi kuliko wewe.
Nachoweza kukuambia utawapiga kwa SmG lakini hata wewe ipo siku mtakuwa wote makaburini mkiwa maiti.
Usijivune Sana kwa kuwa uko na wenye mamalaka.
Mkapa yuko wapi leo?
Duniani tunapita tu.
 
NAWAPA POLE SANA WAFIWA ILA Pamoja na changamoto tunayopitia,
Ifike wakati tujue kuwa askari yupo kazini kulinda na kujilinda na kile alichobeba mkononi sio fimbo.
Ukisha jua alichobeba kinamatumizi gani, kaa ukijua kuwa UKIJITOA UFAHAM na kuhatarisha usalama wake kitatumika.
Utashangaa watu wanafuata mkumbo na kujitoa ufaham kwa kuwapiga mawe Polisi tena wenye silaha.......ungekewa wewe watu 300 wakianza kuwapiga mawe na Askari mpo sita hivi na mkipiga risasi juu na mabomu ya machozi hawakikimbii mngesubiri tu muuwawe sio?
Msitafute huruma.
 
Ndugu yangu,
Unajivunia SMG iliyonunuliwa kwa Kodi zetu wote?
Ndugu yangu,nenda MOi kaone vijana kwa wazee wa kike na wa kiume wasio na viungo kamili lakini walizaliwa wazima kabisa,Hawa hawakua Amana.
Hata wewe waweza kuwa mlemavu kwa kugongwa na bodaboda tu.
Pita makaburini uone makaburini ya watu waliokwisha kufa uone Kama wao walimkosea Mungu zaidi kuliko wewe.
Nachoweza kukuambia utawapiga kwa SmG lakini hata wewe ipo siku mtakuwa wote makaburini mkiwa maiti.
Usijivune Sana kwa kuwa uko na wenye mamalaka.
Mkapa yuko wapi leo?
Duniani tunapita tu.
..." Out of point..." Sasa Kama unaelewa Kuna kifo cha kujitakia sa cha Mpango wa Mungu kwa nini ujitakia kifo kwa kuingilia usalama wa Taifa kaa nyumbn tulie we Dingii"
 
Back
Top Bottom